Mkopo.

Mkopo.

Ndessa please fafanua kidogo zaidi, unamaanisha nini unaposema wanakopesha kwa dhamana ya magari? Wanachukua reg card au wanabaki na gari kabisa? Maelezo yako ya kina yatawasaidia wengi I'm sure.

Sina details zao sana ila baada ya kuniomba hapa nimepita nikapata contacts kwa faida ya wote, wao wameandika kwamba wanakopesha kwa dhamana ya gari i think wanachukuwa documents Mawasiliano ni;
LISTA FINANCIAL AGENCY LTD
mob: 0713 384 132 / 0754 688 601
E-mail: listafinance@gmail.com
 
Sure Bobby umeuliza swali la msingi sana mana kama wanazuia mkoko ni balaa lingine tena...unless haina jinsi mana mzee mzima kama maji yamevuka shingo yako kidevuni..haina jinsi ni kupiga TZ 11..... Ndessa inabidi adadavue zaidi au atusaidie contact if possible

Mkuu nimeweka contacts zao tayari unaweza kuwasiliana nao kwa maelezo zaidi.
 
Mkuu Saccoss inategemeana na katiba yao. Kuna ambao ukiweka hela yako ndani ya miezi mitatu unakuwa na haki ya kukopa x2 au hadi x3 ya akiba yako. Mimi natumia ya walimu ipo vizuri sana.

Mkuu hizi saccoss kwa sisi ambao siyo member kabisa unaruhusiwa kuweka hela kwa muda wanaotaka then wakakukopesha?
 
Mkuu hizi saccoss kwa sisi ambao siyo member kabisa unaruhusiwa kuweka hela kwa muda wanaotaka then wakakukopesha?

Mkuu hapo inabidi uwe mwanachama kwanza. Ukishasajiliwa na kupewa uanachama ndio unaweza kuanza kuweka amana zako. Ila pia kama una ndugu asiye mkono wa birika..na ni mwanachama wa saccoss flan unaongea naye..unamuongezea amana kisha anachukua mkopo ili mradi kwenye marejesho usimkwepe.
 
Mkuu utupe update kama umefanikiwa au vinginevyo ili kutoa dira kwa wengine.
 
Mkuu utupe update kama umefanikiwa au vinginevyo ili kutoa dira kwa wengine.

Mkuu ile ya magari wameniambia ni kwa wa dar tu..na unaacha gari na docs zake.
 
Pia jaribu African Microfinance 0716-191900

Mkuu nilikngea nao, masharti ya kueleweka...ila tu wanataka watu wa Dar peke yao. Vinginevyo labda iwe ishu ya kujuana.
 
Nikizipata hizo 10 nazitumbukiza saccoss ambapo nitapata 30M. Kwa hizo nikirudisha nilikopewa 10, nitabakiwa na deni moja kwenye saccoss. Hapo mchezo nitakuwa nimemaliza.
Ukikopa M10 kwa miaka 3 utalipa si chini ya asilimia 25% ya mkopo uliopewa (25%=2.5M). Ukiweka chama cha akiba na mikopo (CAM) 10M watakupa 30M, Kwa riba ya wasatani wa 30% kwa mwaka utailipa CAM 9M, kumbuka umerudishiwa 10M yako na CAM wamekupa 20M tu. Ukweli utakua unalipa 45% CAM 20M kwa 9M, huu ni upande wa pili wa shilingi, unaobidi kutazamwa.
 
Back
Top Bottom