Ndessa please fafanua kidogo zaidi, unamaanisha nini unaposema wanakopesha kwa dhamana ya magari? Wanachukua reg card au wanabaki na gari kabisa? Maelezo yako ya kina yatawasaidia wengi I'm sure.
Habarini ndugu zanguni.
Ninatafuta kampuni/taasisi inayotoa mikopo. Mm ni mfanyakazi wa taasisi binafsi. Nilicho nacho mkononi kama dhamana ni magari mawili. Nilishauriwa kwenda NMB lakini sikupata lolote lenye tija. Tafadhalini naomba mawazo yenu. Naamini.. problem shared=problem solved.
(Inaelekea niliipost kwenye wrong forum, hapa labda nimepatia)
Nahitaji M10. Muda wa miaka mitatu. Au M5 kwa miaka miwili.
10m
mrejesho
1,825,000 kila mwezi kwa miezi 6
991,000 kila mwezi kwa miezi 12
713,000 kila mwezi kwa miezi 18
757,000 kila mwezi kwa miezi 24
436,000 kila mwezi kwa miezi 36
una ubavu?
Ndessa please fafanua kidogo zaidi, unamaanisha nini unaposema wanakopesha kwa dhamana ya magari? Wanachukua reg card au wanabaki na gari kabisa? Maelezo yako ya kina yatawasaidia wengi I'm sure.
Umegusia saccoss kidogo wengine hatujui mikopo hiyo ya saccso huwa inakuwaje ebu tusaidiane hehheh tusaidie tukusaidie mwanya mambo yanavyokuwa hivyo na sie tunashida kama yako hivyo na sie tunataka wakujibu wataramu nasi tukulupuke twende hehehehe aii maisha popote
Mkuu kama uko Dar nenda Survey mita chache kutoka mlimani city kuna baa inaitwa BULLS PUB then kuna frem nyingi pale nimewasahau jina ila unaweza ulizia wao wanakopesha kwa dhamana ya MAGARI tu,watembelee upate maelekezo zaidi, ila na mimi nifafanulie kidogo kuhusu Saccos jinsi ya kuweka na kupata mkopo wao,Asante.
nenda azania bank,hakikisha plot ina title hati halali, tengeneza ramani ya hiyo nyumba,rekodi za biashara yako kwa miaka mitatu nyuma,hati zako zote ulipaji wako wa kodi variate go!
Mh..naomba details zaidi kuhusu hii, ni nani hawa na nawapataje?10m
mrejesho
1,825,000 kila mwezi kwa miezi 6
991,000 kila mwezi kwa miezi 12
713,000 kila mwezi kwa miezi 18
757,000 kila mwezi kwa miezi 24
436,000 kila mwezi kwa miezi 36
una ubavu?
Mkuu nikiangalia vizuri jinsi ambavyo unaielezea hii biashara unayotaka kuiimarisha ili hela yake uitumie katika ujenzi sina hakika sana kama ina return nzuri namna hiyo (correct me if am wrong).
Stream yake ya income iko reliable kiasi hicho?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
habarini ndugu zanguni.
Ninatafuta kampuni/taasisi inayotoa mikopo. Mm ni mfanyakazi wa taasisi binafsi. Nilicho nacho mkononi kama dhamana ni magari mawili. Nilishauriwa kwenda nmb lakini sikupata lolote lenye tija. Tafadhalini naomba mawazo yenu. Naamini.. Problem shared=problem solved.
(inaelekea niliipost kwenye wrong forum, hapa labda nimepatia)
Mh..naomba details zaidi kuhusu hii, ni nani hawa na nawapataje?
Mkuu, hujanielewa. Biashara itakuwa inarejesha mkopo..na ujenzi utaendelea kwa fund itakayotoka saccoss.
Pazuri hapa
"VV""
Dar es Salaam Community Bank, 1-5 siku unapata huo mkopo kama unakidhi vigezo vyao