Mkorogo wa Vera Sidika

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Hii clip ni ya mwanadada Vera Sidika. Yule Mkenya socialite au mhalaiki mwenye makalio makubwa na nyonga yenye ushepu.

Kwenye hii video anakiri wazi kuwa kweli katumia mkorogo profesheno na kweli anaonekana mweupe kulinganisha na alivyokuwa awali. Kwa hilo (la kukiri) nampa heko kwa kweli.


Kwenye hii video hapa chini, anaonekana kama bado hakuwa hajautumia mkorogo. Na anaongea Kiswahili swaafi kabisa. Nadhani atakuwa anatokea Mvita (Manbasa) huyu.


Halafu eti ana boyfriend wake Mpopo anayempa mahela mengi kufanya manunuzi ya vitu vya urembo kama dola elfu 50.

Hivi kumbe kuna wanaume wajinga hivyo? Yaani mahela yote hayo unampa mwanamke? Naelewa pesa ni zao lakini hmm....kinda sounds too good to be true but you never know.

Pia nikimlinganisha huyo na Masogange, yaani hatii mguu kabisa kwa Agnes. Ushepu wa Masogange unaonekana ni homegrown na uko aesthetic kushinda wa huyu Mkenya.
 
Last edited by a moderator:
BN kuhonga kipaji, kuna wanamme wanahonga hadi mtu amaumwa.

Hujaskia mwanamme kamjengea au kumnunulia binti house, ni zaidi ya dola elfu 50.

Sema pia anahonga dola elfu 50 kwa kazi gani!?
 
NN kuhonga kipaji, kuna wanamme wanahonga hadi mtu amaumwa.

Hujaskia mwanamme kamjengea au kumnunulia binti house, ni zaidi ya dola elfu 50.

Sema pia anahonga dola elfu 50 kwa kazi gani!?

Huh? NN katokea wapi tena?

Halafu hulali wewe? Au una insomnia?
 
Promo kwa masogange,binafsi nshakuaga na mwanamke kama agness hamna la ziada zaidi ya kucapture attention za watu muingiapo sehemu,kwa show off safi bed same as other womens though wana utam wa jotroo,nyamanyama,mitikisiko. N.k
 
Haswaa quality ya pussy yaweza kua majanga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…