Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
Hii clip ni ya mwanadada Vera Sidika. Yule Mkenya socialite au mhalaiki mwenye makalio makubwa na nyonga yenye ushepu.
Kwenye hii video anakiri wazi kuwa kweli katumia mkorogo profesheno na kweli anaonekana mweupe kulinganisha na alivyokuwa awali. Kwa hilo (la kukiri) nampa heko kwa kweli.
Kwenye hii video hapa chini, anaonekana kama bado hakuwa hajautumia mkorogo. Na anaongea Kiswahili swaafi kabisa. Nadhani atakuwa anatokea Mvita (Manbasa) huyu.
Halafu eti ana boyfriend wake Mpopo anayempa mahela mengi kufanya manunuzi ya vitu vya urembo kama dola elfu 50.
Hivi kumbe kuna wanaume wajinga hivyo? Yaani mahela yote hayo unampa mwanamke? Naelewa pesa ni zao lakini hmm....kinda sounds too good to be true but you never know.
Na ukute hata p(ussy) quality si nzuri kivile ila ni makalio tu ndiyo mtaji. The Boss
Pia nikimlinganisha huyo na Masogange, yaani hatii mguu kabisa kwa Agnes. Ushepu wa Masogange unaonekana ni homegrown na uko aesthetic kushinda wa huyu Mkenya.
kumpa hela nyingi mwanamke ni ujinga bwachuchu?
Last edited by a moderator: