Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
- #61
na wanaume wahongaji ndio wanaoenjoy mapenzi. fanya uchunguzi utagundua hilo.
Jaribu kunichuna....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na wanaume wahongaji ndio wanaoenjoy mapenzi. fanya uchunguzi utagundua hilo.
Jaribu kunichuna....
we unaonekana bahili sana.
Teh teh teh....ntakupikia vitwitwi bana..
halafu mi sijakuzoea na hii bana. yaani nakuona kama mgeni.
Niombee msamaha basi....
akuuuu! acha ukae huko huko ukirudi uwe mpoleee! ( sijui kama utaweza we toto tundu)
Ustaadh anakupa hi....:A S 103:
ustadhi anafunga lakn? kisura je hanipi hi?
Ustaadh kobe huyo teh teh teh....
Kisura kaenda vekesheni na mommy ake