Mkorogo wa Vera Sidika

kumpa hela nyingi mwanamke ni ujinga bwachuchu?
 
Last edited by a moderator:
Bwanchuchu
ulitaka kusema mkorogo profeshno au nunduz profeshno!
ahahahahahahahaha wanaume na miziigo!
mnapenda sana kazi ya ukuli enh?
 
Mwenzake na Wema Sepetu huyu....
 
Bwanchuchu
ulitaka kusema mkorogo profeshno au nunduz profeshno!
ahahahahahahahaha wanaume na miziigo!
mnapenda sana kazi ya ukuli enh?

Broader cage and thicker muscle fibres!!!!!
Wasnt a mistake!!!
 
Jaman hata ye ana ushape na sura anayo, wema sepetu mkorogo ulimshindaa au pesa mwanaharamu
 
Shape kajaliwa ila sura nzito nayo angeifanyia mpango achonge hata pua si anataka uzungu
 
Tobaa!! jamani vidolali vya mbeba maboks hapa vitafyonzwa vyote.

He he mie nimewasaidia picha tu.
Kazi ni kwenu.
Afu na yeye anaapplication play store kama unamzimia nenda kadownload.
Kazi ni kwenu.
 
kumpa hela nyingi mwanamke ni ujinga bwachuchu?

Ndiyo, kumpa hela nyingi kisha yeye anakupa uchi wake ni ujinga kwa mtazamo wangu.

Wewe huwa unampa hela nyingi mwanaume anayekutomba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…