ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
Ndiyo, kumpa hela nyingi kisha yeye anakupa uchi wake ni ujinga kwa mtazamo wangu.
Wewe huwa unampa hela nyingi mwanaume anayekutomba?
taratibu mwezi mtukufu huu yaheee!!
Teh teh teh...mbona swali umelipiga chenga ya mwili....?
Ni swali jepesi tu hilo....tena la ndiyo au hapana.
Hivi ukubwa wa makalio unahuhusiano gani na mapenzi?Kwamba mtu anaridhika na ukubwa wa ta.ko au "k"?Sasa ukitaka kujua kuna watu wamejaliwa "neema za allah" ebu jiibe nenda pale vodacom mlimani city custome care building kuna dada yuko mapokezi pale.!!Huo mzigo hata sizi ya chu.pi hakuna.Usidai picha we nenda
naogopa kuharibu swaumu, ngoja nikishafuturu.
Mkubwa mie npo nanjilinji picha plz
umeona eeeeh!!! utaishia kuwaona wenzio wanaohonga wajinga
Jitahid basi hata na wewe upewe dollar 5000 utaishia kuzisikia kwa wenzio tu
Wewe mchokozi sana.
Nimeshapozwa na ban ya siku ile kitu iphone na dollar 2000
Shogaa wanaume wahongaji wachache kama hao kwa bongo ni wa kuhesabu
Umefunga ninyooo
Wee wanaohonga sio wajinga ila inategemea unaemhonga ni wa ajee
Chezeya wekundu ukikupitia kushoto, lazima awe cheus dawa mwaka huu kama shoga yake
nimefunga ndio shosti, nialike ftari basi. napendaga yale mazaga zaga yenu ya kiarabu. lol
na wanaume wahongaji ndio wanaoenjoy mapenzi. fanya uchunguzi utagundua hilo.
Karibu ule futariii tu lipo la kumwagaaa ila shartiii usimuangalie shemejii yako roho yangu ndio hutulia hapoo kama maji mtunginiii
hehehe! mbona hujiamini. lazma nile kungu kabla sijaja. bila shem kuvishinda vishawishi utajuaje anakupenda!!!?
Ninyoooo stak apate majaribu mbele yangu,au nawe ushajichubua kama vera na umbile kama lake kama hivyo futari bora nikutumie tu usiku mrefu shoga na unajua kipya kinyemii