Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Kakondooo bana, ulishawahi kuona mama mchungaji akitikisika wakati hachezi mziki? Let 'em smile a little.
...You always speak your mind,and there's nothing wrong about that sista...Dont allow people's view ruin your weekend. Cheer up!!
Siwezi kujishusha namna hiyo.
Jichunguze!!
Just for the fun of it kakondoo. .
Ngoja nikagombane na besti maridadi sasa.
tatizo hapa jamvini wengi wanataka kila mtu akubaliane au wengi wa wam support alicho
kiandika. na ukiienda kinyume na hapo ndo mambo yanabadiliaka na mtu anaanza kujifanya
anakujua ...tena anakwambia live "Tengeneza njia yako" .. Tukubaliane tu kila mtu ni tofati
na mawazo tofauti.. wote tukiwaza na kukubaliana kila jambo itakuwa "boring sana" weekend njema bana ...
Ukizuga kua kichaa wapo watakaodhani ni kichaa kweli.
PM mwombe Invisible na PAW wawe wanakutumia.
Kauli za watu ambao wamekosa hoja hapa jamvini.
1. Badala ya kujibu hoja anakugeuza wewe hoja : "una hasira, mmeo/mkeo hivi, boyfriend/girlfriend wako vile, umeachwa " wakati hakujui.
2. Badala ya kujibu hoja anadiscredit ulichouliza kwa kusema hujui kitu wakati yeye ndie alieshindwa kukujibu.
3. Badala ya kujibu hoja anaanzisha mada nyingine mpya kabisa.
4. Badala ya kujibu hoja anaanzisha matusi.
5. Badala ya kujibu hoja anaanza kudai "unatoa povu" ili tu uulize povu gani na kupoteza mlichokua mnajadili.
6. Badala ya kujibu hoja anakuita mbishi.
7. Badala ya kujibu hoja anakwambia usingechangia "hukuombwa/lazimishwa kuchangia" .
8. Ukitaka kuelewa point yake kuhusu tabia fulani anakwambia "wewe utakua hivyo hivyo" badala ya kukuelewesha.
9. Ukimuelewesha/jaribu kumrudisha kwenye mada anasema unamlazimisha kufikiri kama wewe.
10. Anakutisha na "do you know who I am?".
11. Anakwambia yeye ana pesa/amesoma sana.
. . . . . .
. . . So long sucker!
😛oaBAK inabidi niongeze ya yule jamaa. . . .
Well, you weren't here. What was I suppose to do?
jG hawa ndio wale ukiangalia joined date unaona ni leo, post anazo nne na zote zinamlenga member fulani.:A S-coffee:Na akimaliza kutapatapa huko kooote,
Atarudi na ID mpya na Avatar mpya na mbwembwe mpya....
Nadhani ni upande wa pili wa burudani wa JF.... kuangalia wapuuzi wanavyoweweseka hapa!
Kuna watu ambao kama kwao ndo wenye sauti basi hata kwenye mijadala wanataka waogopwe, kama ni boss ofisini kwake basi atataka atawale hata jukwaani, hata kama katumia lugha mbaya hataki aambiwe.........au anakwambia 'do you know who Iam'.......hahahah sijui nani kamwambia kuwa cheo chake ndo kila kitu!!!
Kwanzia leo nakua mtoto mzuri nisikose zawadi.Ila mie nawahusudu sana waungwana wa hapa pale wanakosea na kuambiwa au kuona wenyewe wamekosea hawaoni tatizo kuommba samahani ila kuna wengine wa matawi ya juu hawako tayari kuomba radhi hata pale wanapokosea eti watajishusha!!!! Naona kila mwisho wa mwaka kuna haja ya kutoa kijizawadi kwa wanachama ambao wameonyesha ustaarabu wa hali ya juu katika mijadala mbali mbali hapa jukwaani, labda hii itasaidia sana katika kuhakikisha watu hawakurupuki na kuandika upupu ambao mara nyingi huishia kuchafua hali ya hewa.