The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Toa ushahidi wa kisayansi
ha haaa ha so nikishindwa hapo it means i am wrong???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa ushahidi wa kisayansi
ha haaa ha so nikishindwa hapo it means i am wrong???
Boss wewe kaa wa Azania kutwa unachungulia skirts pale Jangwani
ah....umejuaje????lol
unanitisha lol
Isije kuwa wewe ni miongoni mwa wale watu wakikutwa wamesimama karibu na Audi, wanajifanya yao, kumbe chao ni ki Corolla pembeni :lol:
nilikuwa boarding mkoani
form one na two
nikaja Azania..kumalizia.....
Umenikumbusha mbaali
Azania pia nilikaa Hosteli mwishoni.....
hata Corola kwangu its fine lol
Nyie mlosoma boarding sijui mliwezaje tu.
Nyie mlosoma boarding sijui mliwezaje tu.
boarding za serikali zina discipline kubwa
kila mtu anaogopa kufukuzwa shule
halafu kwa mimi,ukitoka Dar kwenda mkoa
unapata advantage....
watu wa Dar wakubwa hawataki atokee mtu kutoka Dar awaaibishe
so wanakulinda na unapewa miongozo..
wa mikoani wanakupa 'heshima' fulani hivi...
it was fun....
kabla ya boarding nilikuwa nachagua vyakula...
nikanyooka....almost kila chakula now nakula lol
tena nafakamia bila usumbufu lol
Mie boarding nikikumbuka choo, saa zote umezungukwa na watu huna privacy, siwezi
umenikumbusha kuna watu
boarding mkoa walikuwa wana prefer
kwenda mashambani kuliko kutumia toilet
sasa mchezo ukaanza kuwa maarufu
ikafikia wakati ,ikifika saa moja tu watu msururu wanaelekea mashambani..lol
utasema wameambiana...shule yetu ilikuwa na mashamba makubwa kuzunguka shule
Mie boarding nikikumbuka choo, saa zote umezungukwa na watu huna privacy, siwezi
I said no to boarding school and I don't regret it.
ulipofaulu interview za Mzizima na Shaaban Robert ukachagua ipi kwenda kufundisha, I hope walikuwa na mishahara mizuri.mimi nilifaulu interview za
Mzizima na Shaaban robert l
Hamkujaza shamba. . . . .??!
dah! Umenikumbusha vyoo na mabafu ya shule yetu tulikuwa tunayaita manyani. Watu tunaoga uchi bila uoga. Ukitukuta tunaoga utasema manyani.
mimi nilifaulu interview za
Mzizima na Shaaban robert among others
But those days kusoma shule ya serikali
unaonekana kichwa zaidi...but baadae
niliona kama i missed 'something'
Niliwahi kwenda Shaaban Robert kumtembelea mtu
nikaingia library yao duh...vitabu tele,mpaka magazines kama Newsweek na Time...
na mimi reading vitu tofauti ndo hobby,nilitamani...lol
shule za serikali hata Daily News miujiza kuliona lol