Kazi nzito, wengine wanarithi tu na wapanda mlima , mfano case nyingi zipo kwa wale wapagazi wa mlima kilimanjaroSawa Mkuu, nini hasa husababisha hiyo Mishipa kuziba hadi kushindwa kufanya kazi yake kwa ufanisi
Ulishwa wahi kuona watu mishipa ya miguu imekuwa mikubwa na imejikunja jikunja mno tofauti na kawaida?Sawa Mkuu, nini hasa husababisha hiyo Mishipa kuziba hadi kushindwa kufanya kazi yake kwa ufanisi
Aisee 😄Namliwaza asije kujitia kamba akidhani atakosa mbususu au kusimangwa
NB: mimi ni mtu wa matani sana sijui kununa😁
Kuna siku nilimuona jamaa mmoja hiv alikua anatoa pesa kwenye simu so nikawa nasubiri amalize ili niweke maana mimi nikua naweka
Nikamtania kaka wewe ni handsome 😍 please naomba no yako 😁😁 alishikwa butwaa akawa anacheka cheka ananiuliza serious?
Nikamwambia hapana nakutania
Basi watu waliokua pembeni wakacheeka basi ikawa imeisha
So sio kila kitu naongea nakua na maanisha sometime ni Jokes 😃
Nimekupata Mkuu, lakini Mgonjwa maelezo yake aliyopewa na daktari wake yanafikirisha sana 🤔Kazi nzito, wengine wanarithi tu na wapanda mlima , mfano case nyingi zipo kwa wale wapagazi wa mlima kilimanjaro
Hakuna kitu naficha hua sitanii niAisee 😄
Lakini sometimes utani una expose ukweli ambao mtu hataki kuusema moja kwa moja…
so hapo unatania kweli au unaficha kitu kidogo? 🤔
Bado MkuuUlishwa wahi kuona watu mishipa ya miguu imekuwa mikubwa na imejikunja jikunja mno tofauti na kawaida?
Kwahiyo saiv utaamini kwa huyu mshikaji nipo serious mtu hata simjuiAisee 😄
Lakini sometimes utani una expose ukweli ambao mtu hataki kuusema moja kwa moja…
so hapo unatania kweli au unaficha kitu kidogo? 🤔
Ila unajua kuna tofauti kati ya utani na “experiment ya hisia za watu” au bado uko kwenye research?Hakuna kitu naficha hua sitanii ni
Kataa ndoa ndio hua ni serious kabisa
Mimi nikiamua sasa hivi kukuita darling sweetheart honey usilibebe maana nawaita wengi hivyo wanawake kwa wanaume 😁😁
You never know kijana mambo mengiIla unajua kuna tofauti kati ya utani na “experiment ya hisia za watu” au bado uko kwenye research?
Sasa Kuna muda mtu anaweza akatafsiri kama zali la mentali, mwingine akaona kama dua zimejibiwa.
Muujiza, daah halafu kumbe ni utani
Hapa tupo kwenye 2D , hatujui kinachoendelea nyuma ya paziaKwahiyo saiv utaamini kwa huyu mshikaji nipo serious mtu hata simjui
Kwenye uzi mwingine utanikuta hivi hivi halafu fresh tu😎
Ama Jf kwenye Uzi fulaniYou never know kijana mambo mengi
Unaweza kushangaa solmate wako mnakutana bar time ya 🍺
Mimi nimewahi kuona dadyUlishwa wahi kuona watu mishipa ya miguu imekuwa mikubwa na imejikunja jikunja mno tofauti na kawaida?
Hamna loloteHapa tupo kwenye 2D , hatujui kinachoendelea nyuma ya pazia
Yes yes✅️Ama Jf kwenye Uzi fulani
Bado Mkuu
Bado Mkuu
Inatisha kumbe ndio hivi?
Hii imetokea miguuniInatisha kumbe ndio hivi?
Nimekupata Vizuri Mkuu
Kuna sehem nime ku qoute nasema ndugu yangu basi kama ni hivi sio hii ni too muchHii imetokea miguuni