Mkosokoto kwenye korodani ya kushoto

Ndiyo akasema ni kufanya upasuaji, wasiwasi je ubora wa kushiriki tendo la ndoa utakuwaje? Je hakuna matibabu mengine
Omba uhai tu,ngono IPO tu.....unaweza ukawa unagonga ila uzalishi.....ila inshallah Allah atakutilia wepesi utakaa sawa idala zote
 
Unapata maumivu makali sana?
hakuna Matibabu mengine ya Varicocele zaidi ya surgical Repair yaani Varicocoelectomy..
usitafute ushauri mwingine utakupoteza zaidi rudi kwa daktari aliekuona ndo anajua historia yako yote akupatie dawa za kutuliza maumivu..

NB: Kama bado hujazaa na hauna mtoto na una mpango wa kuwa na familia wahi matibabu mapema fanya maamuzi ufanyiwe surgical repair vinginevyo infertility itakuhusu..
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Tofauti na upasuaji unaweza fanyiwa embolization , ila pia ukifanyiwa operation haiathiri uwezo wako wa tendo ila inaboresha tofauti na ukibaki na tatizo, ila kuna mda pia wa kupona ili uweze kurudi Kawaida.
Embolization ni MIS(minimally invasive surgery) so ni better sana kama anataka kupona haraka na kupunguza matibabu ya muda mrefu ila ukiniuliza kama ni bora kuliko surgical intervation ya subinguinal.. nitakujibu NO!
kwanini!
surgical intervention ni better sana kwa sababu ina chances ndogo ya recurrence kuliko MIS-embolization,na chances zipo za kupata Hydrocele kuliko akifanya surgery so pendekezo langu afanye surgery bado Tanzania hatuna Masurgion wazuri wa kufanya MIS za urology japo za neoro-tuko vizuri pengine hatujajikita sana kwenye Mfumo wa mkojo..
 
Yeah kabisa daktari
 
Ulimwomba huu ushauri huyo daktari aliye kupima?
Acha upbavu na swali la kipumbavu. Kuuliza hapa Kuna wataalamu Dunia nzima wanye uzoefu mbalimbali. Sasa kwa sababu daktari wake kamwambia hivi hawezi kupata jibu tofauti? hapa anaweza kushauriwa hata daktari mwingine bingwa zaidi na suala lake likawa rahisi
 
Upo sawa nduguπŸ€”
 
Tatizo kubwa la madaktari ni kama mafundi. Kuna wenye MKONO mzuri lakini wengine pamoja na kwamba wamesoma Sana Ile art ya ufundi Hana hivyo kusabiisha makosa kwenye process na kugusa MIFUMO Mingine ilivyokuwa imetulia zake tuuli unaanza tatizo jingine. Na ilivyo Wana ujasiri hawawezi kusema hii siiwezi wao ni kisu tuu
 
Na Hii shida ninanyo pia korodani ya kulia..
Vipi huwa yako huwa inavimba pia?!
 
Kuna mahali unawashwa πŸ€” ila pia maoni yako ni mazuri
 
Kcmc ila nakushauri fika pale seint Elmo karibu na crdb au famanic pharmacy. ukiwaambia boda wana kupeleka chap
Mkuu Nani Nina shida kama ya jamaa Kwa hapa dark naweza fika hospital ipi au specific Dr yupi na wa wapi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…