Mkosokoto kwenye korodani ya kushoto

Pole sana bro. Jitahidi matibabu ya zingatie ufanisi wa tendo!!

Au kama unamtoto mmoja au huna kabisa force upate hata wawili ... maana hawa madaktari wetu hawakawii kutoa taarifa "tumeshindwa kuokoa maisha na kizazi hvyo tukaona n Bora maisha yabaki kizazi kiondoke"
 
Yaani korodani kama Zina minyoo minyoo hivi!?..ninayo hiyo issue na zinaingia katikati ya mapaja,ila mi naweza simama hata saa Saba na sihisi chochote
 
Kabisa
 
Mkuu kuwa serious hapa ni chit chat..
Au unahisi kuna mtu unamchekesha Kwa comment zako za kijinga?!
Wewe ni nani hata unipangie cha ku comment who are you?🚮🚮🚮🚮🚮
Unajua maana ya ignore
Nakushauri fanya hivyo sitaki unipandishie sukari tena 👍
 
Duh!! Ngoja niwahi mapema mkuu, Asante kwa ushauri wako mkuu
 
hapana! kuwa na amani Mkuu surgery haifanywi na mtu mmoja,hata kama itaandikwa kuwa anayefanya ni Dr fulani...surgery hufanywa na jpo la madaktari na kada zingine muhimu kwa mfano, kila table ya operation (operating table) lazima iwe na
  • lead surgeon (huyu ndo kiongozi au anayefanya),
  • Assistant surgeon (s) (wanaomsaidia au anayemsaidia)
  • scrubs nurses
  • Anesthetist yaani daktari wa usingizi
wote unaowaona hapo juu lazima wawe na knowledge ya kutosha kuhusu operation inayoenda kufanyika sana sana hao wasaidizi lengo ni kukumbushana pale anapopata changamoto yyte huwa lazima ustep back then msaidizi anaendelea...
surgery nyingi zina high rate ya success siku hizi tofauti na zamani kikubwa ni kujiamini na kuondoa mindset ya negative kila muda....
 
Asante Mkuu, wengine utani na kupuuza kwingi
 
Asante Mkuu, wengine utani na kupuuza kwingi
Sikutania niliuliza swali la kitaalamu , huyo kiazi kakurupuka na njaa zake nimemwambia aweke namba aokote akatoe njaa zake za umaskini na makasiriko, kabaki matusi tu
 
M
Mkuu nakuja DM tuongee na tuashauriane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…