Tetesi: MKT wa CHADEMA, Freeman Mbowe, Kuanza Ziara ya Ulaya na US Kupitia Dubai 28/08/2016? !.

Nilikuwa nadhani yule mwanamke niliyemwacha kutokana na tabia zake za kimbea ni kubuhu kwenye hizo tabia.
Ila Leo nimegundua huyu Pasco ni Kubuhu wa wambea. Sijui kama kuna mwanaume atakayemchumbia
 
Hicho kijiwe ulichokaa ni bora hata ungetumia muda huo kwenda hadi Bagamoyo na kurudi kwa miguu pengine hata ungekuwa umefanya jambo la maana sana

"Ziara hiyo inajumuisha matibabu..... " Anyaway angalia usije ukaota tende bure... Kwa hii post umezidiwa akili hadi na malumbano ya Mbutananga na LeMutuz ambao wanabishana kuwa ni nani kati yao anavaaga chupi kubwa..!
 
hata kwenye vita ya kagera mwalim hakushika mtutu front line lakini tunasema yeye ndie kiongozi kama watu wameandamana na kiongozi wao ndio aliesema waandamane kama swala hili ni kosa mbona hawaendi kuwakamata viongozi na kuwafunga badala yake wanatia virungu waandamanaji na kuwapiga mabomu ya machozi kwa kuwa hawajui sheria mimi nauliza hapa nchini yamefanyika maandamano mengi ambayo yalipingwa na polisi naweza kuambiwa idadi ya viongozi walioitisha maandamano hayo ambapo wamefungwa
 
Nilikuwa nadhani yule mwanamke niliyemwacha kutokana na tabia zake za kimbea ni kubuhu kwenye hizo tabia.
Ila Leo nimegundua huyu Pasco ni Kubuhu wa wambea. Sijui kama kuna mwanaume atakayemchumbia
Hahahahah makamanda poleni sana..
 
Pasco wa sasa si wa zamani,sishangai maana majungu,unafiki unalipa sana awamu hii
 
Kuna jamaa aliwahi kupost humu jinsi mwanaume mmoja wa Dar anayejiita AT alivyomsuta Peter Msechu.. Ila Dar kuna wanaume wasutaji na wazushi sana..! Utamwambiaje mwanaume mwenzako eti ana tumbo kama kameza Vitz??
 
Wajinga ndiyo waliwao
 
Wewe Pasco hua ni mnafki sana, hujui kuusema ukweli halafu ndumi la kuwili. Hivi hela za sabasaba umeshamaliza?
 
Nilikuwa namuheshimu sana huyu Pasco, ila kwanzia Leo nimekudharau kuliko neno dharau. Heshima yote uliyojijengea apa Jf umeibomoa kwa ajili ya sifa za kijinga.

Sijui haya majungu yanawasaidia nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…