Mkubwa Fella awaita wandishi wa habari kuwaonyesha majumba aliowajengea Yamoto Band

Sio kwamba anawasaidia,bali anawashikia hela zao,meneja bila msanii hamna kitu.
 
Ni mfano wa kuigwa. Anastahili pongezi za dhati
 
Hata mi sijapenda hiyo saresare maua.

Utadhani nyumba za kota...

Halafu sasa haya makundi huja kuvunjika. Likivunjika hilo kundi sijui ndo itakuwaje..

Ila kwa ujumla wake ni jambo jema.
Yeah ni jambo jema lkn hajaeleweka
 
Mkubwa Fela amewaita waandishi wa habari kuwaonyesha nyumba alizowajengea Yamoto Band huku akisema kuwa project yake ya Mkubwa na Wanawe imekuwa na mafanikio makubwa, amemshukuru pia Rais mstaafu Jakaya Kikwete na Ruge wa Clouds kwani pia alimsaidia sana kwenye mradi wake huo wa Mkubwa na Wanawe
Nyumba hizo amesema zitakuja kuzinduliwa na Kikwete

Safi hongera sana Mh diwani fella ulichofanya kwa vijana wako bravo bravo mungu akuzidishie
 
Wakuu nisaidieni jibu.
Hivi anawasaidia, au ni nguvu zao na ni halali yao ???
Ni nguvu zao ila nadhani anawasaidia kuwa manage kwa kuwekeza vipato vyao mahala sahihi akiwapa mapato yote watawekeza kwa wema, wolper na kwenye heineken.
Hata wa kishuka walau watakuwa na pakujihifadhi nahisi aslay hii itakuwa nyumba yake ya pili.
 
Usihukumu usije kuhukumiwa.....kwa kuwa no one is perfect....next time akiitwa waandishi ajifunze kuongea ...nini kianze na wapi amalizie ..ila ujumbe tumeupata..ingawa ni kwa tabu
 
Hata mi sijapenda hiyo saresare maua.

Utadhani nyumba za kota...

Halafu sasa haya makundi huja kuvunjika. Likivunjika hilo kundi sijui ndo itakuwaje..

Ila kwa ujumla wake ni jambo jema.
Ww unawasi wasi gani? Mali yao na walichuma kwa Jasho lao
 
Bado sijaelewa kabisa.
Hizo nyumba ni mali ya nani hasa kisheria?
Ni msaada wa Fella au ni malipo ya Fella kwa Yamoto band?
Nani anamlipa mwenzake?
 
Yesu ndio kajenga!

Hao watu ndio walivyo hivyo, dereva anaendesha basi kutoka Dar mpaka Mwanza hata hawamwambii asante, bali wanamshukuru Yesu kwa kufika salama, kama Yesu alijua kuendesha gari vile.
 
Wabongoo hamuwezagi kukubari kitu,huwa hamuwezi ku appriciate yaani ni wivu kila siku wivuuu tuuu Nyumba sijui sare sare nyie zina wahusu nini angejenga tofauti mngesenaaa kampendelea fulani!! Kajenga sehemu moja oooh Kambi mlitaka ajenge wapiii mwingine amjengee masaki mwingine Tandale au??

Watu wivuuu tuuuuu.....alicho fanya mkubwa ni kitu cha ku appriciate bila kujari kafanya kwa kiasi gani lakini maana yake imeeleweka kwani wasanii wote wanahata hizo nyuma za kambiniiiiiiii????? Mbona wengine wanafukuzwa kwenye nyumba zao hamsemi mbona wanaishi K/koo hamsemiiii.....mbona wengine wanaishi kwa mademu zao hamsemiii

Jamaa kafanya kitu kizuri kabisaaa ndo maana kasema vitu vya ndani wajiwekee wao!!!! Na kama mtu hapo hapapendi ajenge sehemu nyingine ila yeye kasha play part yakeeee......

Mara sijui hawana hati milikii wewe unajuaaaa watu wangapi wapo nyuma yao? Umeenda Rais yupo nyuma yao,Ruge yupo nyuma yao wanakosaje kuwa na hati miliki ya Nyumbaa???? Kwani huo mziki uliwahi kusikia wamedhurumiana??? Uliwahi sikia wanamatatizo ya kisheria kundi si bado lipo??

Watu mna wivu nyumba zenu hata kuweka sare vyumba viwili tuuu vimewashindaaa kutwaaa kuhama nyuma kisaaa kodi imepandaaaaa halafu mkija hapaaa mnaletaaa fyoko fyokoooo

Jifunzeniii kukubariiii kitu mtu anavyo fanyaaaaaa........Yule Rais wa Leicersty amewanunulia wachezaji wake magari yoteee sareeeee hadi rangi hadi wachezaji wanalalamika yanawachanganya hayo hamuoni mnaona ya Mkubwa Fella tuuu?????

Huo ni wivu wakijingaaaaaaaaa sanaaaaaaa..........Kwa usawaaa huuu nyie mnadhanii kusimamisha nyumba hizoooo ni kazi ndogooo??????

Acheni wivuuuu....mara jamaa anahema juu maraa obesity wewe inakuhusuuuu nini wewe ndo mke wakeee???? Au akiwa na obesity ndo haruhusiwi kujengaa nyumbaaa jamaa kawaida ni mnene ulitakaa akondeee kamaaa wewe ulivyo konda na maisha magumuuuuuu

Huo wivuuuuu tuuuuu na Muacheeee jifunzeniii kukubalii hata kidogo mtu akifanyaaaa sio chuki kila siku
 
Mkuu hii Rap yako imeeleweka sanaaa....hope imewachoma hadi kwenye figo.
 
Amefanya Vizuri, Ila Ninavyofahamu Huyu Ni Diwani Na Alivyovaa Ile Jeaans Jana Chini Ya Makalio Sikupenda
 
Mkuu achana na wazee wa kunyonga tai wakati wanalala kwenye mabanda sinza na mbezi. Wanapenda kusikia watu kwa mabaya tu.. Tunaojua hao watoto wametoka wapi tunaheshimu sana alichofanya Fella.
 
Wakuu nisaidieni jibu.
Hivi anawasaidia, au ni nguvu zao na ni halali yao ???

Inaweza ikawa ni nguvu zao ndo zimeingiza kipato,lakini bila msaada wa Fella hawa madogo wasingeweza kufanya hayo mambo makubwa...kwa umri wao,upevu wa akili zao,na ujana wao wasingeweza kufanya jambo la maana,sanasana tungesikia skendo zao tu za mademu na kula bata...Fella anawalea(kimaisha na kimaadili) na kuwacontrol kama watoto wake,kawafungulia account za bank,anawatunza,anawashauri na mpaka matumizi ya hela zao pia fella anawalimit...matokeo yake ndo hayo unayoyaona,nyumba,magari na soon madogo wataanzisha vitega uchumi vyao vingine under Fella the don...huo ni msaada mkubwa kuliko unavofikiria..
N.B recall wasanii wa bongo walipata mihela mingi wakakosa control na priority za matumizi wako wapi sasa hivi..kwa takwimu tu ni asilimia 8% tu ya wasanii wa bongo ndo wamejenga nyumba zao na zimekamilika...92% waliobaki wote wapangaji,lakini kubadili magari na starehe zipo palepale daily.
 
Saw a anatafuta misifa lakini matunda tunayaona!
 
fella ni kawaida kuwajengea wasanii wake.. hata mh temba na chege walipewa nyumba na fella na hati zao kabisa.. wakat anawasimamia
 
Back
Top Bottom