uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,455
- 2,240
Duh! Wasanii nao wanakaa kwenye kota.!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaa shauri ya ulafi uliopitilizaHuyo mshikaji mbona kama anahangaika kuhema....obesity?
Tazama na usikilize videoHzo nyumba ni za hao watoto au za huyo mzee
Juma Nature alitoka pia lakini hakuporwa nyumba.Zile kambi wanazojenga NHC pia ukishakuwa mmiliki halali unaweza kuzigeuza kitega uchumi.Mtu asiye na jazba anisaidie anieleweshe, kwa nn kawajengea sehem moja? Je wanaruhusiwa kutumia nyumba hizo kama vitega uchumi? Ningependa kujua , nani ana hati miliki ya nyumba hizo? Kama huna jibu then futa huo uzi ukapate majibu coz ukishaleta hapa umelikoroga utalinywea tu! Vp akiamua kutoka kwenye kundi leo,?
Bila kusahau kila nyumba hapo ina mmiliki mmoja..Fella ni kama baba tu ambaye anachukua kiasi ktk pato la mwanae kwa ajili ya kumjengea kesho yake.Kwa nilivyoelewaMtu asiye na jazba anisaidie anieleweshe, kwa nn kawajengea sehem moja? Je wanaruhusiwa kutumia nyumba hizo kama vitega uchumi? Ningependa kujua , nani ana hati miliki ya nyumba hizo? Kama huna jibu then futa huo uzi ukapate majibu coz ukishaleta hapa umelikoroga utalinywea tu! Vp akiamua kutoka kwenye kundi leo,?