wise-comedian
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 3,293
- 3,945
Yeah ni jambo jema lkn hajaelewekaHata mi sijapenda hiyo saresare maua.
Utadhani nyumba za kota...
Halafu sasa haya makundi huja kuvunjika. Likivunjika hilo kundi sijui ndo itakuwaje..
Ila kwa ujumla wake ni jambo jema.
Safi hongera sana Mh diwani fella ulichofanya kwa vijana wako bravo bravo mungu akuzidishieMkubwa Fela amewaita waandishi wa habari kuwaonyesha nyumba alizowajengea Yamoto Band huku akisema kuwa project yake ya Mkubwa na Wanawe imekuwa na mafanikio makubwa, amemshukuru pia Rais mstaafu Jakaya Kikwete na Ruge wa Clouds kwani pia alimsaidia sana kwenye mradi wake huo wa Mkubwa na Wanawe
Nyumba hizo amesema zitakuja kuzinduliwa na Kikwete
Ni nguvu zao ila nadhani anawasaidia kuwa manage kwa kuwekeza vipato vyao mahala sahihi akiwapa mapato yote watawekeza kwa wema, wolper na kwenye heineken.Wakuu nisaidieni jibu.
Hivi anawasaidia, au ni nguvu zao na ni halali yao ???
Ww unawasi wasi gani? Mali yao na walichuma kwa Jasho laoHata mi sijapenda hiyo saresare maua.
Utadhani nyumba za kota...
Halafu sasa haya makundi huja kuvunjika. Likivunjika hilo kundi sijui ndo itakuwaje..
Ila kwa ujumla wake ni jambo jema.
Yesu ndio kajenga!
Mkuu hii Rap yako imeeleweka sanaaa....hope imewachoma hadi kwenye figo.Wabongoo hamuwezagi kukubari kitu,huwa hamuwezi ku appriciate yaani ni wivu kila siku wivuuu tuuu Nyumba sijui sare sare nyie zina wahusu nini angejenga tofauti mngesenaaa kampendelea fulani!! Kajenga sehemu moja oooh Kambi mlitaka ajenge wapiii mwingine amjengee masaki mwingine Tandale au??
Watu wivuuu tuuuuu.....alicho fanya mkubwa ni kitu cha ku appriciate bila kujari kafanya kwa kiasi gani lakini maana yake imeeleweka kwani wasanii wote wanahata hizo nyuma za kambiniiiiiiii????? Mbona wengine wanafukuzwa kwenye nyumba zao hamsemi mbona wanaishi K/koo hamsemiiii.....mbona wengine wanaishi kwa mademu zao hamsemiii
Jamaa kafanya kitu kizuri kabisaaa ndo maana kasema vitu vya ndani wajiwekee wao!!!! Na kama mtu hapo hapapendi ajenge sehemu nyingine ila yeye kasha play part yakeeee......
Mara sijui hawana hati milikii wewe unajuaaaa watu wangapi wapo nyuma yao? Umeenda Rais yupo nyuma yao,Ruge yupo nyuma yao wanakosaje kuwa na hati miliki ya Nyumbaa???? Kwani huo mziki uliwahi kusikia wamedhurumiana??? Uliwahi sikia wanamatatizo ya kisheria kundi si bado lipo??
Watu mna wivu nyumba zenu hata kuweka sare vyumba viwili tuuu vimewashindaaa kutwaaa kuhama nyuma kisaaa kodi imepandaaaaa halafu mkija hapaaa mnaletaaa fyoko fyokoooo
Jifunzeniii kukubariiii kitu mtu anavyo fanyaaaaaa........Yule Rais wa Leicersty amewanunulia wachezaji wake magari yoteee sareeeee hadi rangi hadi wachezaji wanalalamika yanawachanganya hayo hamuoni mnaona ya Mkubwa Fella tuuu?????
Huo ni wivu wakijingaaaaaaaaa sanaaaaaaa..........Kwa usawaaa huuu nyie mnadhanii kusimamisha nyumba hizoooo ni kazi ndogooo??????
Acheni wivuuuu....mara jamaa anahema juu maraa obesity wewe inakuhusuuuu nini wewe ndo mke wakeee???? Au akiwa na obesity ndo haruhusiwi kujengaa nyumbaaa jamaa kawaida ni mnene ulitakaa akondeee kamaaa wewe ulivyo konda na maisha magumuuuuuu
Huo wivuuuuu tuuuuu na Muacheeee jifunzeniii kukubalii hata kidogo mtu akifanyaaaa sio chuki kila siku
milele aminaTumsifu Yesu kristu
Milele AminaTumsifu Yesu kristu
Mkuu achana na wazee wa kunyonga tai wakati wanalala kwenye mabanda sinza na mbezi. Wanapenda kusikia watu kwa mabaya tu.. Tunaojua hao watoto wametoka wapi tunaheshimu sana alichofanya Fella.Wabongoo hamuwezagi kukubari kitu,huwa hamuwezi ku appriciate yaani ni wivu kila siku wivuuu tuuu Nyumba sijui sare sare nyie zina wahusu nini angejenga tofauti mngesenaaa kampendelea fulani!! Kajenga sehemu moja oooh Kambi mlitaka ajenge wapiii mwingine amjengee masaki mwingine Tandale au??
Watu wivuuu tuuuuu.....alicho fanya mkubwa ni kitu cha ku appriciate bila kujari kafanya kwa kiasi gani lakini maana yake imeeleweka kwani wasanii wote wanahata hizo nyuma za kambiniiiiiiii????? Mbona wengine wanafukuzwa kwenye nyumba zao hamsemi mbona wanaishi K/koo hamsemiiii.....mbona wengine wanaishi kwa mademu zao hamsemiii
Jamaa kafanya kitu kizuri kabisaaa ndo maana kasema vitu vya ndani wajiwekee wao!!!! Na kama mtu hapo hapapendi ajenge sehemu nyingine ila yeye kasha play part yakeeee......
Mara sijui hawana hati milikii wewe unajuaaaa watu wangapi wapo nyuma yao? Umeenda Rais yupo nyuma yao,Ruge yupo nyuma yao wanakosaje kuwa na hati miliki ya Nyumbaa???? Kwani huo mziki uliwahi kusikia wamedhurumiana??? Uliwahi sikia wanamatatizo ya kisheria kundi si bado lipo??
Watu mna wivu nyumba zenu hata kuweka sare vyumba viwili tuuu vimewashindaaa kutwaaa kuhama nyuma kisaaa kodi imepandaaaaa halafu mkija hapaaa mnaletaaa fyoko fyokoooo
Jifunzeniii kukubariiii kitu mtu anavyo fanyaaaaaa........Yule Rais wa Leicersty amewanunulia wachezaji wake magari yoteee sareeeee hadi rangi hadi wachezaji wanalalamika yanawachanganya hayo hamuoni mnaona ya Mkubwa Fella tuuu?????
Huo ni wivu wakijingaaaaaaaaa sanaaaaaaa..........Kwa usawaaa huuu nyie mnadhanii kusimamisha nyumba hizoooo ni kazi ndogooo??????
Acheni wivuuuu....mara jamaa anahema juu maraa obesity wewe inakuhusuuuu nini wewe ndo mke wakeee???? Au akiwa na obesity ndo haruhusiwi kujengaa nyumbaaa jamaa kawaida ni mnene ulitakaa akondeee kamaaa wewe ulivyo konda na maisha magumuuuuuu
Huo wivuuuuu tuuuuu na Muacheeee jifunzeniii kukubalii hata kidogo mtu akifanyaaaa sio chuki kila siku
Wakuu nisaidieni jibu.
Hivi anawasaidia, au ni nguvu zao na ni halali yao ???
Wa wengine[emoji4]Mbona wakina Mwandwanga wengine wana akili. Wewe wa wapi?