Mkubwa Fella awaita wandishi wa habari kuwaonyesha majumba aliowajengea Yamoto Band

Huyu jamaa anawajali sana hawa madogoo,,,hata kama anawaibia atleast anarudisha nusu ya kile anachoiba
 
Juma Nature alitoka pia lakini hakuporwa nyumba.Zile kambi wanazojenga NHC pia ukishakuwa mmiliki halali unaweza kuzigeuza kitega uchumi.
 
Bila kusahau kila nyumba hapo ina mmiliki mmoja..Fella ni kama baba tu ambaye anachukua kiasi ktk pato la mwanae kwa ajili ya kumjengea kesho yake.Kwa nilivyoelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…