Mkubwa Fella marafiki wamemtenga baada ya kuugua

Mkubwa Fella marafiki wamemtenga baada ya kuugua

Timu kataa NDOA, mmhhh haya, jamaa yetu anapiganiwa na mkewe, WAKUU NDOA SIO mbaya, SHIDA huanza unapo kosea kuchagua, HAPO NDO tatizo linapo tutafina vijana wengi, wkuangalia matrako, rangi, ujanja, uzuri nk, MKE WA fella kqnifurahisha SANA jinsi anvo pambana mumewe arudi barabarani kuendelea na shughuli zake za kila SIKU.

Mama HUYO pia anakumbana na CHANGQMOTO za hapa na pale, jambo lililo muibua, nakurusha lawama KWA baadhi ya MARAFIKI wa mumewe kuwa, WAMEMTENGA hawamjuli hali Sasa.

Mama HUYO amemtaja mbosso kama mmoja wa WATU pekee wanaojitolea KWA hali na Mali KWA said fella Sasa, HUKU akiwananga WENGINE kujikausha inasemekana diamond alimpeleka India kutibiwa lakini NAE Sasa kafunga vioo, kauli ambayo imepingwa vikali na WATU wakidai MSAADA WA MTU SI lazima HIVO SI busara kumlazimisha MTU ajitolee kupita UWEZO wake HIVO mama HUYO asinge paswa kujitokeza na kurusha lawama kiasi hicho kwani madhara ni makubwa kuliko faida. Nadhani mama HUYO ameangalia nafasi ya mondi KWA mumewe kabla ya kupata mtihani huo.

Kwa WASIOmjua said fella, alikuwa ni MENEJA WA DIAMOND, ni MTU MWENYE MICHANGO MKUBWA SANA, kwenye carrier ya mondi akiwa na babu tale, pia walisimamia vijana WENGINE kama ya moto band, kundi la muziki kipindi hicho akiwemo, mbosso, beka flavour, aslay, enock bella, wasanii WENGINE temba na chege, madee nk, pia alikua diwani kupitia ccm, akiipambania mbagala KWA jasho na hali.

Mpaka Sasa ugonjwa unaomsumbua haujulikani, ila tuendele kumuombea, MWENYEZI MUNGU amsimamie, MZEE WETU, AMINA

View attachment 3526417
Lawama ushuzi hizo anapaswa kuzipeleka CCM, serikali haramu inayoongozwa na CCM, kwa Samia, kwa Kikwete na si kwa wasanii hawa wa Kibongo ambao literally maisha yao si stable na ukweli huo anaufahamu. Kama Diamond alimpeleka India kutibiwa je CCM yake imemfanyia kitu gani? Hela alizochuma kwenye music industry, kwenye uchawa kwa CCM na kwenye biashara za cocaine na heroine amezipeleka wapi? Au ndiyo anataka watu wafilisike huku zake akizibania? Kwa kuwa yuko upande wa wauaji, walawiti, watekaji na watesaji basi mabaya yazidi kumuandama mpaka akome.
 
Back
Top Bottom