Mkuchika ni Mzee Kilaza anayetumika Yanga na watu flani kwa Maslahi yao

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Nmekuwa nikimfuatilia huyu mzee toka ajitafutie cheo yanga...simwelewi kabisa. Naona kama amewekwa pale makusudi na watu flani kuivuruga yanga.

Toka aandike barua feki ya kuwa manji anarudi yanga nlimtoa thaman kabisa na kuona mzee mzima tena waziri anakuwa na ukilaza na utapeli.tunajua anatumika na watu flani kutuharibia yanga yetu.
 
WATAJEE HAOO WATU ELSE HUU N UMBEA NA UNAAAA
MAJUNGULIZATION
 
WATAJEE HAOO WATU ELSE HUU N UMBEA NA UNAAAA
MAJUNGULIZATION
Nyika na ndama watoto wa mjini,wamemuwin mzee wetu mkuchika bila kujali wadhifa wake,mzee yakija kumuharibikia itakua too late maana wajanja wa mjini watakua washatimiza malengo yao
 
Wewe kilaza huwezi yajua hayo...kaa tu ujilie ugali wako mandondo usubiri kushabikia yanga.... Haya mambo wanayajua watu wenye akili si mabwege mtozeni kama wewe.

WATAJEE HAOO WATU ELSE HUU N UMBEA NA UNAAAA
MAJUNGULIZATION
 
Huyu mzee hata aibu hana anaendeshwa na watoto wadogo kabisa wamemfanya fala. Anataka kuiharibu yanga na huku yeye mambo yake yanaenda safi

Nyika na ndama watoto wa mjini,wamemuwin mzee wetu mkuchika bila kujali wadhifa wake,mzee yakija kumuharibikia itakua too late maana wajanja wa mjini watakua washatimiza malengo yao
 
Nyika na ndama watoto wa mjini,wamemuwin mzee wetu mkuchika bila kujali wadhifa wake,mzee yakija kumuharibikia itakua too late maana wajanja wa mjini watakua washatimiza malengo yao
Ndama kwa kiasi kikubwa ndiyo anaisaidia Yanga kwa sasa.
Ndiyo kamleta Mwinyi Zahera. Lazima tujifunze ku appreciate michango ya watu wakati sisi kazi yetu ni kulalama humu mitandaoni.
 
Mtu pekee anayetumiwa Yanga kwa maslahi yake binafsi ni Mrundi Akilimali.
Tunajua sasa kapata mbabe wake yule Mpemba. Kaufyata.
Ugomvi na Manji ulianza baada ya kumkatia mirija.
 
Yanga sijui itakuja kuimarika lini aiseee?!?!?!?!,

Sent from Nokia 7 Plus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…