Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaa......Mkuu umesahau, huyo wa mwisho alikuwa wa kuliboma (mpogoro) katoka zake Mahenge na dawoyi (Dar oyeee) anakwenda Dar, ubungo. kufiki ubungo akaanza kumsimulia mwenyeji wake; ''Leu nimimkomeshi dereva kwelikweli, darwoyi limifika ubungu kondakta kasema ubungu ubungu mi nikabashi, ubungu ubungu nikabanisha, mpaka tumifiki kariikoo mi nikashuki nikachukui taxii mpaka ubungu. Mi gangwe kwelikweli si mchezu''.Mkude Gangwe kwelikweli, kamdindia Katibu Kata kulima shamba la kijij
Mkude Gangwe kweli, kapanda Mabasi mawili (IKARUS) kalipa shilingi......
Mkude Gangwe kweli, kapanda basi kutoka Morogoro badala ya kushukia Ubunge, kashukia Kariakoo, kamkomoa Dereva.
Mkude gangwe kweli, kakataliwa na demu kaenda kunshitaki kwa nkewe!