Mkude ndiye kiungo bora wa chini kuwahi kutokea nchini?

Mkude ndiye kiungo bora wa chini kuwahi kutokea nchini?

Mkude huyu ambaye hata Timu ya Taifa hafurukuti? Ulizia wanawajua akina Ali Maumba(Coastal Union). Hussein Masha(Pamba & Simba). Isa Athumani( Yanga). Au Michael Paul "Nylon" ( Simba)
Umemuona juzi taifa akikichafua ,narudia tena hakuna kama mkude Tanzania

National team wanamuonea tu
 
Daaah mtoa mada kuna viungo bora kbsaa hujawatendea haki

Mf : Issa Athuman.. Ramadhan Lenny.. Athuman Abdalah china.. Hussen Marsha.. Salvatory Edward... Niko Bambaga... Michael Paul... Hamis Gaga.. Wazir Mahadhi.. Godfrey Bonny Mwandanje...kiukweli Mkude ni mzr sio kwa ulivyompamba mkuu...
 
Mkude ana mapungufu mengi kuliko faida, kwenye transition yupo slow, anacheza back pass nyingi sana.Mzito Ku turn ana piga pass ulekeo mmoja tu, uelekeo ule anao tizama. Mzito/simzuri kwenye mipira yajuu,Ana bebwa na mfumo kwakua anazungukwa na viungo wengine wanne ,Angalia alipo achiwa acheze six bila viungo wasaidizi uone Kilimanjaro stars ilivyo teswa kwenye Challenge. Mzito kuitoa timu nyuma ili isogee kwenye goli la mpinzani.
Yeye mwenyewe yuko slow sana kimaamuzi. Ana achwa mbalisana na James Kotei kwa ubora katika eneo la namba sita.
Anacheza mamba mmoja tu. Kwaujumla hauziki nje ya nchi kwa namba anayo cheza kwa maana halisi ya mamba sita, labda afanye mabadiliko makubwa kwenye Soka lake.
Sifa ninayo iona kwake ni uwezo wa kuficha Mpira akiwa nao, anafaa kucheza timu ikiwa imeshinda ili a hold Mpira na si wakati timu inatafuta Ushindi.
Anapenda kufanya vitu visivyo na sababu yaani kucheza na jukwaa, Anatakiwa Ku focus kwenye mambo ya msingi ambayo ni kusaidia Mpira utoke kwenye eneo lake la goli kwa haraka na uhakika.
Japo namkubali Huyu Fundi Jonas Gerald Mkude,Lakini huu uchambuzi wako wa Kitaalam nimeupenda na nimeukubali.
 
Mkude ana mapungufu mengi kuliko faida, kwenye transition yupo slow, anacheza back pass nyingi sana.Mzito Ku turn ana piga pass ulekeo mmoja tu, uelekeo ule anao tizama. Mzito/simzuri kwenye mipira yajuu,Ana bebwa na mfumo kwakua anazungukwa na viungo wengine wanne ,Angalia alipo achiwa acheze six bila viungo wasaidizi uone Kilimanjaro stars ilivyo teswa kwenye Challenge. Mzito kuitoa timu nyuma ili isogee kwenye goli la mpinzani.
Yeye mwenyewe yuko slow sana kimaamuzi. Ana achwa mbalisana na James Kotei kwa ubora katika eneo la namba sita.
Anacheza mamba mmoja tu. Kwaujumla hauziki nje ya nchi kwa namba anayo cheza kwa maana halisi ya mamba sita, labda afanye mabadiliko makubwa kwenye Soka lake.
Sifa ninayo iona kwake ni uwezo wa kuficha Mpira akiwa nao, anafaa kucheza timu ikiwa imeshinda ili a hold Mpira na si wakati timu inatafuta Ushindi.
Anapenda kufanya vitu visivyo na sababu yaani kucheza na jukwaa, Anatakiwa Ku focus kwenye mambo ya msingi ambayo ni kusaidia Mpira utoke kwenye eneo lake la goli kwa haraka na uhakika.
Kwa nafasi yake ya holding mildifielder, anaitendea haki.
Mkude kwa mimi nimuonavyo, hapaki rangi mpira, anatimiza tu jukumu lake, nyang'anya mpira kisha toa pasi, mkude yeye ni mtu wa kuangalia mbele tu, pasi zake nyingi ni forwards sio za nyuma vinginevyo imemlazimu sana. Ana pasi ambazo nyingi ni accurate na diagonal, kwa uchezaji wake na vision aliyo nayo, ana uwezo wa kugeuza defense kuwa offense ndani ya muda mchache sana.
 
Mkude huyu ambaye hata Timu ya Taifa hafurukuti? Ulizia wanawajua akina Ali Maumba(Coastal Union). Hussein Masha(Pamba & Simba). Isa Athumani( Yanga). Au Michael Paul "Nylon" ( Simba)
Anayefurukuta taifa stars hii ni nani??
 
Uliwahi kumuona ATHUMANI CHINA? na HAMISI GAGA? hawa watu ni hatari sana,, hyo mkude anajaribu tu.... Sio FUNDI wa muda wote
Kila kizazi na watu wake, ndio maana messi halinganishwi na pele.
 
Kila kizazi na watu wake, ndio maana messi halinganishwi na pele.
Ndy hajawahi kutokea? ,,wakati walikuwapo akina NICO NJOHOLE,,CHINA,,GAGA,ISSA ATHUMANI,,ALLY MAUMBA,, LENY,,MASHA,,nk.,, SEMA kwa SASA UTAELEWEKA
 
Ndy hajawahi kutokea? ,,wakati walikuwapo akina NICO NJOHOLE,,CHINA,,GAGA,ISSA ATHUMANI,,ALLY MAUMBA,, LENY,,MASHA,,nk.,, SEMA kwa SASA UTAELEWEKA
Sasa kina Masha, Ramadhani Lenny (mapafu ya mbwa) ndio kizazi cha Mkude?? Hao wa miaka ya 90 na 2000 mwanzo. Mkude mlinganishe na wale wa 2010 mpaka sasa. Naongelea kizazi, sio mamba anayocheza tu.
 
Sasa kina Masha, Ramadhani Lenny (mapafu ya mbwa) ndio kizazi cha Mkude?? Hao wa miaka ya 90 na 2000 mwanzo. Mkude mlinganishe na wale wa 2010 mpaka sasa. Naongelea kizazi, sio mamba anayocheza tu.
UZI unasema mkude ndiyo kiungo wa BORA ambaye hajawahi kutokea,,sasa unajuwa KISWAHILI cha KUSOMA au kuandika?kama hajawahi tokea hao akina NJOHOLE walikuwa wa NCHI GN?
 
Athuman Iddi Chuji
Shaban Nditi
Seleman Matola

Hawa wachache ni wachezaji bora kuliko Mkude,kwenye list ya viungo wote Mkude hata kwenye 50 bora hawezi kuwepo
 
Athuman Iddi Chuji
Shaban Nditi
Seleman Matola

Hawa wachache ni wachezaji bora kuliko Mkude,kwenye list ya viungo wote Mkude hata kwenye 50 bora hawezi kuwepo
Yaani hata Simba tu hawezi kuwa kiungo mkabaji bora wa wakati wote...

Mleta mada huenda umri wake ungali mdogo...
 
Hata Marehemu Godfrey Bonny tu hamfikii huko kwa akina Lenny mmeenda mbali
 
UZI unasema mkude ndiyo kiungo wa BORA ambaye hajawahi kutokea,,sasa unajuwa KISWAHILI cha KUSOMA au kuandika?kama hajawahi tokea hao akina NJOHOLE walikuwa wa NCHI GN?
Ndio maana nami kabla ya kusema hivyo nilisema kila kizazi kina watu wake.
 
mtoa mada hayo ni mawazo yako mazuri tu na tuwe na haki ya kutofautiana,ila kwangu mimi wakati nchi inacheza mpira sio chakacha ya sasa,viungo wafuatao walikuwa moto,Aluu Ally,Mohamed Richard(Adolf),Nicodemas Njohole,Masha(Pamba FC),Ramadhani Lenny,hawa walikuwa ni attacking and box to box viungo wa kati,ninakumbuka wakati nchi ina adabu kila kitu kilikuwa na adabu.

Huu ni uongo. Mpira wa tanzania haukuwahi kuwa wa tofauti na sasa.... Hayo maneno eti zaman ndo kulikuwa na mpira ni uongo ambao unapaswa kutumika kuwadanganya watoto wadogo.i was there. Miaka ile ya beki hasifiwi kazi yake ni kuondoa mpira nyuma na wachezaji wengine kukimbia na mpira anao anao.... Unakuja kudanganya watu hapa... Si afadhali miaka hii hata pasi zipo na mashambulizi yanapangwa... Acheni uongo mkidhni wote ni kizazi za 90s humu ndani.
 
Kwanza mleta mada amesema "Kwa muda wote", unadhani kwanza ametafiti kujua kuwa akina Abdulrahman Lukongo walikuwa wanachezaje!
Mtemi Ramadhani? Hamis Gagarino? Juma Mkambi? Charles Bornface? Athumani China? Khalid Abeid? Abdulrahman Juma?Hivi Sunday Manara alikuwa mshambuliaji au kiungo mshambuliaji?
Mpira wa mabeki kubutua? Upi huo?
Method Mogella uliwahi kumsikia? Samli Ayubu"beki mstaarabu", Jumanne Ayubu "kwasakwasa" Mohamed Chuma nk. Mleta mada aliwahi kuwasikia hawa? Tuepuke kauli jumuifu!
 
Back
Top Bottom