Umemuona juzi taifa akikichafua ,narudia tena hakuna kama mkude TanzaniaMkude huyu ambaye hata Timu ya Taifa hafurukuti? Ulizia wanawajua akina Ali Maumba(Coastal Union). Hussein Masha(Pamba & Simba). Isa Athumani( Yanga). Au Michael Paul "Nylon" ( Simba)
Watu wanasema Viroba vimeisha kumbe bado watu wanazigonga.Mkuu ww Viroba unanunulia wapi Siku hizi..!?Mchezaji wa kawaida sana huyo hamfikii hata mudathir yahya.
Japo namkubali Huyu Fundi Jonas Gerald Mkude,Lakini huu uchambuzi wako wa Kitaalam nimeupenda na nimeukubali.Mkude ana mapungufu mengi kuliko faida, kwenye transition yupo slow, anacheza back pass nyingi sana.Mzito Ku turn ana piga pass ulekeo mmoja tu, uelekeo ule anao tizama. Mzito/simzuri kwenye mipira yajuu,Ana bebwa na mfumo kwakua anazungukwa na viungo wengine wanne ,Angalia alipo achiwa acheze six bila viungo wasaidizi uone Kilimanjaro stars ilivyo teswa kwenye Challenge. Mzito kuitoa timu nyuma ili isogee kwenye goli la mpinzani.
Yeye mwenyewe yuko slow sana kimaamuzi. Ana achwa mbalisana na James Kotei kwa ubora katika eneo la namba sita.
Anacheza mamba mmoja tu. Kwaujumla hauziki nje ya nchi kwa namba anayo cheza kwa maana halisi ya mamba sita, labda afanye mabadiliko makubwa kwenye Soka lake.
Sifa ninayo iona kwake ni uwezo wa kuficha Mpira akiwa nao, anafaa kucheza timu ikiwa imeshinda ili a hold Mpira na si wakati timu inatafuta Ushindi.
Anapenda kufanya vitu visivyo na sababu yaani kucheza na jukwaa, Anatakiwa Ku focus kwenye mambo ya msingi ambayo ni kusaidia Mpira utoke kwenye eneo lake la goli kwa haraka na uhakika.
Kwa nafasi yake ya holding mildifielder, anaitendea haki.Mkude ana mapungufu mengi kuliko faida, kwenye transition yupo slow, anacheza back pass nyingi sana.Mzito Ku turn ana piga pass ulekeo mmoja tu, uelekeo ule anao tizama. Mzito/simzuri kwenye mipira yajuu,Ana bebwa na mfumo kwakua anazungukwa na viungo wengine wanne ,Angalia alipo achiwa acheze six bila viungo wasaidizi uone Kilimanjaro stars ilivyo teswa kwenye Challenge. Mzito kuitoa timu nyuma ili isogee kwenye goli la mpinzani.
Yeye mwenyewe yuko slow sana kimaamuzi. Ana achwa mbalisana na James Kotei kwa ubora katika eneo la namba sita.
Anacheza mamba mmoja tu. Kwaujumla hauziki nje ya nchi kwa namba anayo cheza kwa maana halisi ya mamba sita, labda afanye mabadiliko makubwa kwenye Soka lake.
Sifa ninayo iona kwake ni uwezo wa kuficha Mpira akiwa nao, anafaa kucheza timu ikiwa imeshinda ili a hold Mpira na si wakati timu inatafuta Ushindi.
Anapenda kufanya vitu visivyo na sababu yaani kucheza na jukwaa, Anatakiwa Ku focus kwenye mambo ya msingi ambayo ni kusaidia Mpira utoke kwenye eneo lake la goli kwa haraka na uhakika.
Anayefurukuta taifa stars hii ni nani??Mkude huyu ambaye hata Timu ya Taifa hafurukuti? Ulizia wanawajua akina Ali Maumba(Coastal Union). Hussein Masha(Pamba & Simba). Isa Athumani( Yanga). Au Michael Paul "Nylon" ( Simba)
Kila kizazi na watu wake, ndio maana messi halinganishwi na pele.Uliwahi kumuona ATHUMANI CHINA? na HAMISI GAGA? hawa watu ni hatari sana,, hyo mkude anajaribu tu.... Sio FUNDI wa muda wote
Ndy hajawahi kutokea? ,,wakati walikuwapo akina NICO NJOHOLE,,CHINA,,GAGA,ISSA ATHUMANI,,ALLY MAUMBA,, LENY,,MASHA,,nk.,, SEMA kwa SASA UTAELEWEKAKila kizazi na watu wake, ndio maana messi halinganishwi na pele.
Sasa kina Masha, Ramadhani Lenny (mapafu ya mbwa) ndio kizazi cha Mkude?? Hao wa miaka ya 90 na 2000 mwanzo. Mkude mlinganishe na wale wa 2010 mpaka sasa. Naongelea kizazi, sio mamba anayocheza tu.Ndy hajawahi kutokea? ,,wakati walikuwapo akina NICO NJOHOLE,,CHINA,,GAGA,ISSA ATHUMANI,,ALLY MAUMBA,, LENY,,MASHA,,nk.,, SEMA kwa SASA UTAELEWEKA
UZI unasema mkude ndiyo kiungo wa BORA ambaye hajawahi kutokea,,sasa unajuwa KISWAHILI cha KUSOMA au kuandika?kama hajawahi tokea hao akina NJOHOLE walikuwa wa NCHI GN?Sasa kina Masha, Ramadhani Lenny (mapafu ya mbwa) ndio kizazi cha Mkude?? Hao wa miaka ya 90 na 2000 mwanzo. Mkude mlinganishe na wale wa 2010 mpaka sasa. Naongelea kizazi, sio mamba anayocheza tu.
Wachezaji wanaokula bangi kwa sasa ni Kelvin Yondani na Juma NyossoIla mwambie apunguze ganja aisee, kiukweli anajua
Yaani hata Simba tu hawezi kuwa kiungo mkabaji bora wa wakati wote...Athuman Iddi Chuji
Shaban Nditi
Seleman Matola
Hawa wachache ni wachezaji bora kuliko Mkude,kwenye list ya viungo wote Mkude hata kwenye 50 bora hawezi kuwepo
Ndio maana nami kabla ya kusema hivyo nilisema kila kizazi kina watu wake.UZI unasema mkude ndiyo kiungo wa BORA ambaye hajawahi kutokea,,sasa unajuwa KISWAHILI cha KUSOMA au kuandika?kama hajawahi tokea hao akina NJOHOLE walikuwa wa NCHI GN?
Yanga mna wivu sana.Yaani hata Simba tu hawezi kuwa kiungo mkabaji bora wa wakati wote...
Mleta mada huenda umri wake ungali mdogo...
Heeh sasa ingekuwa wivu si ningetaja kiungo wa Yanga...!!!Yanga mna wivu sana.
mtoa mada hayo ni mawazo yako mazuri tu na tuwe na haki ya kutofautiana,ila kwangu mimi wakati nchi inacheza mpira sio chakacha ya sasa,viungo wafuatao walikuwa moto,Aluu Ally,Mohamed Richard(Adolf),Nicodemas Njohole,Masha(Pamba FC),Ramadhani Lenny,hawa walikuwa ni attacking and box to box viungo wa kati,ninakumbuka wakati nchi ina adabu kila kitu kilikuwa na adabu.