Mkude ndiye kiungo bora wa chini kuwahi kutokea nchini?

asante sana kwa kuweka Kumbukumbu sawa
 
Post ya kishabiki sana hii.
Unamuingelea Mkude tu Bila kumlinganisha. Hapo hamna comparison, kilichopo ni kumpamba Mkude
 
Good analysis
 
Kabla sijasema chochote naomba kujua uzao wako ni upi kati ya hizi 70's? 80's? 90's? 2000's? Maana watoto wa dotcom mnashida sana
 
Mkude huyu ambaye hata Timu ya Taifa hafurukuti? Ulizia wanawajua akina Ali Maumba(Coastal Union). Hussein Masha(Pamba & Simba). Isa Athumani( Yanga). Au Michael Paul "Nylon" ( Simba)

Wa miaka ya karibuni ni Selemani Matola. Hana mbwembwe but very industrious.
 
Umemchambua mpaka nimefurahi.Tanzania ni nchi pekee duniani ambayo ss sote tunafaa kuwa makocha.Kwa uchambuzi huu ningeomba upewe timu yetu ya arsenal kama si ubaguzi wa rangi wa mbwa zile.
 
Hata Marehemu Godfrey Bonny tu hamfikii huko kwa akina Lenny mmeenda mbali
Fundi w mpira ambaye Tanzania hatukujua ubora n thamani yke ila huyu jamaa toka aondoke sijaona midifilder kisheti kama huyu. R. I. P. bro
 
Ushawahi kumuona Steven Mussa,Elisha John, Athumani China, Nylon Michael Paul,Hassan Afif, Kasa Musa, Ally Maumba,Charles Mkwasa kwa uchache wao usingeandika huo utumbo
 
afadhali utumbo si kwetu tunalia ndizi... wewe umeandika choo kabisa. unadhan kutaja taja majina will make it special? niulize mimi sasa kuhusu akina hassan Afif, akina Athuman China, Michael Paul hawa ni kizazi cha late 80s mpaka 90s. go back a little bit far you dumb lady. everyday new things are born.... and i just wonder why you are so filled with hatred to the extent it crowd your judgement against Jonas Mkude. binadamu wanafiki huwa wanakuwa na tumbo la kuhara na kichefu chefu kwa mazuri yaliyopo.. huona ni bora wakathamini yaliyopita ku justify their grievances and hatred against who does better now. miaka kumi ijayo akitokea mwingine akasifiwa wivu utakushika utasema mchezaji mzuri alikuwa mkude.... unajaza choo tumboni hadi kwenye ubongo... ***** mbavu sana wewe. sijui kwa nini kizazi chenu hakikuungua kwenye sodoma na gomorrah au kuondoka na gharika wakati wa Nuhu mnaifanya dunia ionekane ina watu wengi kumbe wengine ni uchafu tu.

Ushawahi kumuona Steven Mussa,Elisha John, Athumani China, Nylon Michael Paul,Hassan Afif, Kasa Musa, Ally Maumba,Charles Mkwasa kwa uchache wao usingeandika huo utumbo
 
Mkude huyu ambaye hata Timu ya Taifa hafurukuti? Ulizia wanawajua akina Ali Maumba(Coastal Union). Hussein Masha(Pamba & Simba). Isa Athumani( Yanga). Au Michael Paul "Nylon" ( Simba)

Alikuwepo pia Gilbert Mahinya huyu alikuwa world class kama kina Franz Backenbeur: Alikuwa Sunderland afu Yanga wakamchukua.

Hapo ndiyo ukisema u Simba na Uyanga na pia watu wa siasa kutumia ofisi zao kutekeleza fitna kwenye soka nayo ni issue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…