Uume ndiyo nn mkuu? Sijaelewa kbsa
JARIBU NA HII
Boy : baby mambo, leo unakuja,kama tulivyoongea jana?
Girl : Ndiyo my..
But baby Nikwambie kitu...
Boy : sema mpnz
Girl : Sasa mimi nitakujaje, nywele zipo hovyo sijaosha, wala kuset.. Alafu baby kucha zangu sijasafisha..
Nitumie pesa kidogo Kama 150,000/= hivi niende saloon..
Boy : Poa usijali subiri...
M-PESA : imethibitishwa 155,000/= salio lako jipya la M-PESA ni shilling 155,250/=....
Boy : Umeiona mpnz?
Girl: kimya
Boy : Mmh mbona hujibu?
Girl : Ooh sorry, my nimeiona, nilikuwa namuandalia baba chakula, ndiyo amerudi muda huu toka safari...
Mmh alafu sijui Kama ntaweza kutoka baby coz baba alivyorudi amenisema, juzi nilivyochelewa kurudi home, mama kamwambia kila kitu...
100(customer care Vodacom) : Karibu katika huduma ya watu waliotuma pesa kimakosa kupitia M-PESA...
Boy : Samahani nimetuma shillingi 155,000/= kwenda number xxxxx, naomba mnisaidie kuirudisha tafadhali...
100(customer care Vodacom) : OK subiri ombi lako linashughulikiwa na utarejeshewa kiasi hicho ndani ya masaa 24...
Girl (SMS imeingia toka M-PESA) : Imedhibitishwa kiasi cha shilling 155,000/= kilichotumwa kimakosa kimerudishwa, salio lako jipya la M-PESA ni shilling 250/=
Girl : Sasa baby ndiyo nini hivyo... [emoji7][emoji7]
Boy. Sio Mimi ni voda hao wamenionea huruma unavyo nichuna. [emoji23]
Girl. Aah baby voda gani wako ivyo
Girl.alafu Baba kalala nakuja nitumie basi
Boy. We njoo ila nishatumie iko buku jero now[emoji23]