Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uume ndiyo nn mkuu? Sijaelewa kbsaMZEE: Dokta nina tatizo...
DOKTA: una tatizo gani?
MZEE: uume wangu hausimami...
DOKTA: una mke?
MZEE: hapana...
DOKTA: una mchumba?
MZEE: hapana...
DOKTA: unatarajia kuwa na msichana yoyote kimapenzi?
MZEE: hapana..
DOKTA: sasa mzee unataka Uume wako usimame ili uwe unatundikia koti ama?
JARIBU NA HIIUume ndiyo nn mkuu? Sijaelewa kbsa
Nimeipenda hiyo.Nimetumiwa sms na bodi ya mikopo kuwa nadaiwa .wamenipa siku 30 nijisalimishe.
Nimewambia mbona sijasoma chuo kikuu wananambia mbona kila siku najiunga vifurushi vya chuo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa vinafanya nipunguze stress ..viva bwakilaHapa utapata vichekesho vya mkude simba kwa kadiri nitakavyokuwa navipata sio mbaya kama nawe unavyo tukashare pamoja
*********UPDATE******
VICHEKESHO VILIVYOONGEZWA NI VITATU VYA CHINI (kuanzia mkude malaika hadi kizibo)
hii imetokana na jamii forum kutoruhusu zaidi ya file 20 hvyo tutakuwa tunafuta na kuweka vipya
umependa nn?Nimeipenda hiyo.
dah...ngoja nilaleKuna sehemu nikipita huwa nanunua sambusa za kula kama tano hivi, sasa j'pili tulipokuwa kanisani mchungaji akasema watu tutubu dhambi zetu[emoji120] . Yule mzee muuza sambas akanyanyuka akaenda kutubu[emoji15] , basi akasema anaomba Mungu amsamehe kwa sababu huwa anaweka nyama ya mbwa kwenye sambusa. Yaani sijui hata yale mawe yalitoka wapi ndani ya kanisa, lakini hata mchungaji alirusha[emoji23] [emoji23] [emoji23]