Mkude Vs Pappy Tshimbi nazi zaidi

Usibishane na shabiki.
 
Umelinganisha vizuri sana shemeji ( tumeoa mkurya).

Sawa Shemeji ila Mimi siyo Mkurya bali ni Mzanaki ( Tanzania ) na Mtutsi ( Rwanda ) 100% japo Wakurya nawaheshimu kwakuwa wote tunatoka Mkoa mmoja wa ' Mashujaa ' wa kweli wa Mara ( Musoma )
 
Sawa Shemeji ila Mimi siyo Mkurya bali ni Mzanaki ( Tanzania ) na Mtutsi ( Rwanda ) 100% japo Wakurya nawaheshimu kwakuwa wote tunatoka Mkoa mmoja wa ' Mashujaa ' wa kweli wa Mara ( Musoma )
OK. Huyu Shemeji wangu kwao Bumangi.
 
PAPY KABAMBA TSHITSHIMBI ni mchezaji mwenye kucheza nafasi nyingi uwanjani.

Ni mchezaji mwenye kujua timu yake inahitaji nn? Toka kwake.

Anajua kuwalinda mabeki wake anapokuwa na jukumu la kiungo mkabaji.

Anajua kupandisha timu na kupora mipira na kupiga pasi za mwisho na kufunga anapokuwa kiungo mshambuliaji.

SIFA YA MKUDE ni kukaba akiwa kiungo mkabaji ni mbishi na anauwezo mkubwa uliojificha ,anahitaji makocha bora au timu bora iili aoneshe zaidi alichonacho.
 
Nani zaidi?
 
Papii leo ulimi ndala anakata viuno kwa Mkude
 
Leo ndo nimeona kuwa mkude ni zaidi ya shishi baby. katoa ulimi nje! Hadi kashindwa kumalizia gemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…