Mnapokuwa mnataka kulinganisha wachezaji wawili, ni vyema wakawa wanacheza nafasi moja. Kuna siku jamaa aliweka hoja mezani kulinganisha eti Ajibu na Niyonzima, kisa mmoja amehama huku kwenda kule and vice-versa. Thshishimbi amecheza mara chache sana namba sita, mara nyingi yanga wanamtumia Makapu. Sijui kama Mkude amewahi kucheza namba nane! Hapa linganisha Mkude vs Makapu, Thshishimbi vs Ndemla/Muzamiru, Rostand vs Manula, Kessy vs Asante, Gadiel vs Erasto Nyoni, Mlipili vs Dante, Yondani vs Juuko, Okwi vs Ajibu, Chirwa vs Bocco, Martin vs Kichuya, Buswita vs Kotei (sometimes)