Mkude Vs Pappy Tshimbi nazi zaidi

Mkude Vs Pappy Tshimbi nazi zaidi

Mnapokuwa mnataka kulinganisha wachezaji wawili, ni vyema wakawa wanacheza nafasi moja. Kuna siku jamaa aliweka hoja mezani kulinganisha eti Ajibu na Niyonzima, kisa mmoja amehama huku kwenda kule and vice-versa. Thshishimbi amecheza mara chache sana namba sita, mara nyingi yanga wanamtumia Makapu. Sijui kama Mkude amewahi kucheza namba nane! Hapa linganisha Mkude vs Makapu, Thshishimbi vs Ndemla/Muzamiru, Rostand vs Manula, Kessy vs Asante, Gadiel vs Erasto Nyoni, Mlipili vs Dante, Yondani vs Juuko, Okwi vs Ajibu, Chirwa vs Bocco, Martin vs Kichuya, Buswita vs Kotei (sometimes)
Shishimbi ni ni box to box ni kama Kamusoko, ukimchezesha sita anacheza vizuri, 8 anacheza vizuri ata 10 japo hajawai chezesha lakini Nina uhakika ataimudu. Anajiamini na ana maamuzi ya haraka na sahihi ndio maana ata zikicheza simba na yanga, Simba huwa inakua na viungo watano lakini shishimbi mwisho wa mchezo anaonekana bora.
 
Anatakiwa aisaidie timu yake katika michezo yote, sio dhidi ya Simba tu. Lengo liwe kushinda, sio kutoa sare
 
Mnapokuwa mnataka kulinganisha wachezaji wawili, ni vyema wakawa wanacheza nafasi moja. Kuna siku jamaa aliweka hoja mezani kulinganisha eti Ajibu na Niyonzima, kisa mmoja amehama huku kwenda kule and vice-versa. Thshishimbi amecheza mara chache sana namba sita, mara nyingi yanga wanamtumia Makapu. Sijui kama Mkude amewahi kucheza namba nane! Hapa linganisha Mkude vs Makapu, Thshishimbi vs Ndemla/Muzamiru, Rostand vs Manula, Kessy vs Asante, Gadiel vs Erasto Nyoni, Mlipili vs Dante, Yondani vs Juuko, Okwi vs Ajibu, Chirwa vs Bocco, Martin vs Kichuya, Buswita vs Kotei (sometimes)
Naomba nitofautiane kidogo na wewe mkuu. Unaweza kishindanisha mchezaji wa nafasi yoyote dhidi ya nafasi nyengine tofauti, ilimradi umeweka vigezo. Kwa sababu kimsingi wachezaji wote wanahitajika kuwa na sifa zinazofanana kiujumla ( mf. Control, endurance, stamina, speed, strength, mobility, n.k.).Hata hizo sifa tunazohisi ni za wachezaji wa nafasi fulani tu (mf. ufungaji, kutengeneza pasi za mwisho, kukaba) zinatakiwa kila mchezaji awe nazo. Zipi kati ya sifa hizo mchezaji anazo zaidi ndio huamua acheze nafasi ipi. Kadri anavyokuwa nazo nyingi ndivyo mchezaji anavyomudu kucheza nafasi nyingi. (Mf. Mrhm Said Mwamba). Lakini ni nadra kumkuta mchezaji mwenye sifa zote hizo, ndio maana ni taabu kimkuta golikipa akicheza ndani (ukiondoa akina Rene Higuita). Kwa ufupi, ni sahihi kushindanisha wachezaji wa nafasi tofauti (ndicho kinachofanyika kwenye Ballon d’or na tozo nyingine kubwa kubwa) lakini vigezo ni lazima viwepo. Na kwamba mchezaji anayemudu nafasi nyingi zaidi uwanjani ni bora zaidi kuliko anayemudu chache.
 
Mkude anamapungufu mengi kisoka, kwanza yuko slow sana, pili anacheza pass nyingi kwenye eneo lake, tatu uwezo wake wakucheza mipira ya juu ni mdogo, nne mzito kugeuka akiwa na mpira, atakapo elekea ndipo pass yake itakapo enda, Tano anapenda kucheza najukwaa, sita hana tabia ya kuisogeza timu kwaharaka. Kwa ufupi kama James Kotei yupo basi mkude ni vizuri akianzia nje, kwakua Kotei ana ipa timu vitu vingi kuliko Mkude. Mkude anafanana na Said Makapu si PaPaa Shishimbi. Kwangu kumfananisha Mkude na Papii Kabamba ni kumuonea Mkude.Umri wao unalingana ila uwezo wao wanapishana sana. Sifa mmoja aliyonayo Mkude ananguvu za miguu anaweza ficha mpira vinginevyo anajitaid kibongo bongo.
Hujajibu swali zaid ya kuzunguuuuuuuuuuuka hata sijui ulikuwa unataka kusema nini?
 
Kiuwezo Papy Kabamba Tshishimbi yuko juu ya Jonas Mkude.

Kiuburudishaji Uwanjani ili usijutie kutoa Hela yako ya Kiingilio Jonas Mkude ni zaidi ya Papy Kabamba Tshishimbi.

Papy Kabamba Tshishimbi anacheza Kiuongo ya kushambulia zaidi

Jonas Mkude anacheza sana Kiungo ya Ukabaji zaidi

Papy Kabamba Tshishimbi tayari ana uzoefu wa Michuano ya Kimataifa

Jonas Mkude ndiyo Kwanza sasa anaanza Kucheza mechi za Kimataifa japo mwaka 2012 alipata nafasi kidogo ya Kucheza dakika kadhaa nafasi ya Marehemu Patrick Mutesa Tabu Petit Mafisango

Papy Kabamba Tshishimbi ana amebakiza muda mchache kudumu katika Soka kutokana na Umri

Jonas Mkude bado ana muda mrefu wa Kucheza mpira zaidi ndani na hata nje ya nchi kama tu ataimarisha nidhamu yake hasa ya nje ya Uwanja ambayo mara kwa mara imekuwa ikimgharimu

Ni hayo tu Mkuu na kila la kheri.
Nimekupa like kwa analysid nzuri. Umekosea kushabikia rangi za Yanga
 
Wewe una akili za nzi, mkude anacheza nafasi gani.
Kufunga magoli ni uwezo na kipaji! Uwezo wa Mkude kufunga ni mdogo bila kujali nafas anayocheza! Mbona Asante Kwasi ni beki lakin uwezo wake wa kufunga ni mkubwa sana! Kubali tu kwamba Shishimbi amemzidi Jonas!
 
Mkude anamapungufu mengi kisoka, kwanza yuko slow sana, pili anacheza pass nyingi kwenye eneo lake, tatu uwezo wake wakucheza mipira ya juu ni mdogo, nne mzito kugeuka akiwa na mpira, atakapo elekea ndipo pass yake itakapo enda, Tano anapenda kucheza najukwaa, sita hana tabia ya kuisogeza timu kwaharaka. Kwa ufupi kama James Kotei yupo basi mkude ni vizuri akianzia nje, kwakua Kotei ana ipa timu vitu vingi kuliko Mkude. Mkude anafanana na Said Makapu si PaPaa Shishimbi. Kwangu kumfananisha Mkude na Papii Kabamba ni kumuonea Mkude.Umri wao unalingana ila uwezo wao wanapishana sana. Sifa mmoja aliyonayo Mkude ananguvu za miguu anaweza ficha mpira vinginevyo anajitaid kibongo bongo.
Siri moja kubwa sana ya Simba kupata ushindi mnono kwenye ligi ni baada ya Omog kuondoka maana alikhwa anamuweka Mkude bench.
Alipokuja Djuma akagundua Mkude ni bonge la midfielder, na sasa ndio tegemeo pale kati.
Simba hawakumchezesha kwenye mechi yao na Mwadui na katikati pakafa kabisa wakabaki Mwadui wametawala kati, matokeo yake ni draw.
Nasubiri mechi ya Yanga na Simba maana sasa Mkude na Ndemla watakuwa kati ili nimuone Tshishimbi kama atacheza mpira.
 
Nimekupa like kwa analysid nzuri. Umekosea kushabikia rangi za Yanga

Tena naomba unitake radhi upesi kama siyo haraka Mkuu kwani naamini kwa kila anayemjua GENTAMYCINE humu JamiiForums anajua kuwa Mimi ni Mnyama Mnyamani ' lia lia ' au ' kindakindaki ' nikimaanisha ni Mshabiki na Mwanachama wa Simba Sports Club. Umenitibua sana kuniambia Mimi nashabikia Yanga SC Mkuu.
 
Kufunga magoli ni uwezo na kipaji! Uwezo wa Mkude kufunga ni mdogo bila kujali nafas anayocheza! Mbona Asante Kwasi ni beki lakin uwezo wake wa kufunga ni mkubwa sana! Kubali tu kwamba Shishimbi amemzidi Jonas!
Sio kipaji ama uwezo tu, usiozingatia nafasi gani unacheza, Basi Yondani angekua na magori mengi tu, Ukimshanga Kwasi, utamshangaa na Kapombe na Kesi.
 
Kiuwezo Papy Kabamba Tshishimbi yuko juu ya Jonas Mkude.

Kiuburudishaji Uwanjani ili usijutie kutoa Hela yako ya Kiingilio Jonas Mkude ni zaidi ya Papy Kabamba Tshishimbi.

Papy Kabamba Tshishimbi anacheza Kiuongo ya kushambulia zaidi

Jonas Mkude anacheza sana Kiungo ya Ukabaji zaidi

Papy Kabamba Tshishimbi tayari ana uzoefu wa Michuano ya Kimataifa

Jonas Mkude ndiyo Kwanza sasa anaanza Kucheza mechi za Kimataifa japo mwaka 2012 alipata nafasi kidogo ya Kucheza dakika kadhaa nafasi ya Marehemu Patrick Mutesa Tabu Petit Mafisango

Papy Kabamba Tshishimbi ana amebakiza muda mchache kudumu katika Soka kutokana na Umri

Jonas Mkude bado ana muda mrefu wa Kucheza mpira zaidi ndani na hata nje ya nchi kama tu ataimarisha nidhamu yake hasa ya nje ya Uwanja ambayo mara kwa mara imekuwa ikimgharimu

Ni hayo tu Mkuu na kila la kheri.
Kwenye umri ni uongo!!

Mkude ni sawa na Papii.

Chezea Okwi ana 25 hadi leo
 
Akhsante ila masahahisho kidogo Mimi siyo Mkurya kama labda unavyojua au kuhisi bali Kiumeni ni Mzanaki kutoka Mara ( Tanzania ) na Mtutsi kutoka Gisenyi ( Rwanda ) na Kikeni ni Mmakuwa na Mmwera kutoka Mikoani Mtwara na Lindi.

Kila la kheri.
Wewe Ni mmakuwa au mmwera kwani huko mtoto anarithi kwa mama
 
...Kwa ufupi, ni sahihi kushindanisha wachezaji wa nafasi tofauti (ndicho kinachofanyika kwenye Ballon d’or na tozo nyingine kubwa kubwa) lakini vigezo ni lazima viwepo. Na kwamba mchezaji anayemudu nafasi nyingi zaidi uwanjani ni bora zaidi kuliko anayemudu chache.
Ballon d'or haishindanishi wachezaji wawili kama thread hii ilivyokuja. Inashindanisha wachezaji wote wa soka duniani
 
Sawa. Lakini je hao wachezaji wote wa soka duniani wanachezea nafasi ya aina moja kama alivyohoji niliyeomba kutofautiana maye, au ni kwa nafasi tofauti kama ninavyodai mimi?
 
Ndio maana nimekwambia, Balon d'or ni halali kulinganisha wacheza soka wa nafasi zote kwa sababu inatafuta mchezaji bora miongoni mwa wacheza soka wote duniani, tofauti na uzi huu ambao unalinganisha wachezaji wawili tu duniani
 
Unajua hoja yangu ya msingi lakini, au unataka kubishana kwa ajili ya kubishana? Narudia tena kukukumbusha na sidhani iwapo utaendelea kukariri ubishi huohuo nitaendelea kujibizana nawe. Nilichosema, na ndicho unavyosema wewe bila ya kujijua, ni kwamba ni sahihi kushindanisha wachezaji wawili wa nafasi tofauti uwanjani, kwa sababu vigezo vya msingi vya uchezaji ni kwa wachezaji wote, bila ya kujali nafasi wanazochezea. Na ushahidi wa hilo ni hiyo Ballon d’or inayoshindanisha wachezaji bila ya kujali nafasi wanazocheza. Kwa hivyo si makosa kushindanisha ni nani bora kati ya Tshishimbi na Mkude. Wassalaam!
 
Kiuwezo Papy Kabamba Tshishimbi yuko juu ya Jonas Mkude.

Kiuburudishaji Uwanjani ili usijutie kutoa Hela yako ya Kiingilio Jonas Mkude ni zaidi ya Papy Kabamba Tshishimbi.

Papy Kabamba Tshishimbi anacheza Kiuongo ya kushambulia zaidi

Jonas Mkude anacheza sana Kiungo ya Ukabaji zaidi

Papy Kabamba Tshishimbi tayari ana uzoefu wa Michuano ya Kimataifa

Jonas Mkude ndiyo Kwanza sasa anaanza Kucheza mechi za Kimataifa japo mwaka 2012 alipata nafasi kidogo ya Kucheza dakika kadhaa nafasi ya Marehemu Patrick Mutesa Tabu Petit Mafisango

Papy Kabamba Tshishimbi ana amebakiza muda mchache kudumu katika Soka kutokana na Umri

Jonas Mkude bado ana muda mrefu wa Kucheza mpira zaidi ndani na hata nje ya nchi kama tu ataimarisha nidhamu yake hasa ya nje ya Uwanja ambayo mara kwa mara imekuwa ikimgharimu

Ni hayo tu Mkuu na kila la kheri.
Umelinganisha vizuri sana shemeji ( tumeoa mkurya).
 
Back
Top Bottom