MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
"Ni goli halali kabisa na ifike wakati sasa Watu wajitahidi sana Kusoma Sheria na Kanuni mpya za FIFA ili likitokea Jambo wawe wanaweza Kulitafsiri Kitaaluma na siyo Kishabiki.
Meddie Kagere anayeonekana kuwa mbele laiti katika ile move pale pale angefunga ndiyo ingekuwa ni Offside ila kwakuwa pamoja na Yeye kuwa mbele na kukatokea ile piga nikupige na Goli likafungwa na Chama (na si Yeye Kagere ) kwa 100% siyo Offside bali ni goli halali kabisa" Alfred Rwiza Mkufunzi wa Waamuzi nchini Tanzania.
Chanzo: EFM Sports Headquarters ya leo.
Nami namfahamisha tu Mkufunzi Alfred Rwiza kwamba hao ambao (Siyo Mbeya Kwanza FC) waliofungwa ndiyo wameumizwa zaidi na Ushindi wa Simba SC jana si tu wakipimwe Akili badala yake wakubali tu ile Kauli ya Kimaono ya aliyekuwa Kocha wao Mkuu Luc Eymael (Raia wa Ubelgiji) hasa pale aliposema (YouTube ipo) kuwa Mashabiki hao (wa Timu fulani walioumia zaidi) ni Nyani, Mbwa na Sokwe halafu hawajui kabisa Mpira.