Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Ngoja nikaushe!Oyaaaa...uchune aiseee.
Jukwaa litageuka SOMALIA mda si mrefu.
Fahamu kuwa hatupendi kukosolewa hadharani, afadhali ungemfuata inbox.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nikaushe!Oyaaaa...uchune aiseee.
Jukwaa litageuka SOMALIA mda si mrefu.
Fahamu kuwa hatupendi kukosolewa hadharani, afadhali ungemfuata inbox.
Sent using Jamii Forums mobile app
Personal nipo normal kabisa kwenye keyboard zangu sina hata 1% ya kupanic au kuchukia cause its not a big deal, kukosea mimi sio wa kwanza, na wala sitokua wa mwishoOyaaaa...uchune aiseee.
Jukwaa litageuka SOMALIA mda si mrefu.
Fahamu kuwa hatupendi kukosolewa hadharani, afadhali ungemfuata inbox.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchune tu...usi reply.Personal nipo normal kabisa kwenye keyboard zangu sina hata 1% ya kupanic au kuchukia cause its not a big deal, kukosea mimi sio wa kwanza, na wala sitokua wa mwisho
Nachomshangaa huyo chalii ni ameshindwa ku deal na thread inasema nini akachuja akaona mimi kwa kua nime comment against na interest zake kama fan wa kolo fc basi a deal na mimi badala ya thread, yani kaona mimi ndio kichaka cha kupunguzia hasira zake za ukweli kwamba kolo fc walibebwa
Personal nipo normal kabisa kwenye keyboard zangu sina hata 1% ya kupanic au kuchukia cause its not a big deal, kukosea mimi sio wa kwanza, na wala sitokua wa mwisho
Nachomshangaa huyo chalii ni ameshindwa ku deal na thread inasema nini akachuja akaona mimi kwa kua nime comment against na interest zake kama fan wa kolo fc basi a deal na mimi badala ya thread, yani kaona mimi ndio kichaka cha kupunguzia hasira zake za ukweli kwamba kolo fc walibebwa
Whatever, ila naomba tusiharibu uzi wa watu. Nyie semeni, nikosoeni kwangu its ok! Ila msituhamishe kwenye madaUnaendelea kuharibu. Neno 'personal' hapo lilipokaa sio sawa. Ushauri wa kwamba uanadike vizuri ni mzuri ili sisi unaotuandikia tukuelewe. Wacha ubishi, chukua ushauri huu positively ili upige hatua kiuandishi.