MKUKUTA Phase I: Maoni yako

MKUKUTA Phase I: Maoni yako

Salamu WoS:

Kuna thread kule kwenye ukumbi wa siasa (Lost Decades - In Search of Ujamaa). Katika thread hiyo nia na madhumuni yangu ilikuwa kuonyesha kuwa misaada ndio inayotufanya turudi nyuma.

Na katika thread nyingi najaribu kuonyesha kuwa yale matokeo ya maendeleo katika miaka ya 1971-1981 katika fani za elimu, afya na huduma za jamii yalichangiwa kwa kiasi kikubwa na misaada kutoka nje na wala sio siasa safi na uongozi bora. Ninazo liteture nyingi za ku-support ninayoyasema.

Lakini kwa sababu, mafanikio haya yalitokana wakati Mwalimu akiwa madarakani, basi yote ninayoyasema yananifanya mimi kuwa pariah, outcast, mwalimu hater.

Ninakubali titles zote ninazopewa, lakini one has to remember kuwa hili tatizo ni Africa nzima. Kwa mfano ukichukua kipato cha Zambia wakati inapata uhuru, tungetegemea kuwa Zambia ingekuwepo kwenye kikao kilichomalizika cha G20. Lakini leo Zambia hipo kwenye ligi moja na Tanzania. The same could be said about Ghana and Nigeria.

Niliponunua kitabu cha The Elusive Quest for Growth by William Easterly kitu cha kwanza niliangalia index ya kitabu hili nipate maoni yake kuhusu Tanzania na haya ndio aliyosema:

The World Bank helped to finance the Morogoro shoe Factory in Tanzania in the 1970s. This shoe factory had labor, machines and the latest in shoe-marking technology. It had everything except-shoes. It never produced more than 4 percent of its installed capacity. The factory, which had planned to supply the entire Tanzanian shoe market and then export three-quarters of its planned production of 4 million shoes to Europe, never exported a single shoe. …. The production finally ceased in 1990.

Morogoro Shoe Factory was owned by the government of Tanzania, a government that had failed at every big and small development initiative since independence.

Kama conclusion la mchumi huyu wa benki ya dunia ni kuwa serikali ya Tanzania imeshindwa katika initiatives ndogo au kubwa toka tumepata uhuru, kwanini MKUKUTA ifanikiwe wakati mind-set ya watendaji ni ileile?
 
Asante Za10 and good to see you again.
Hivi what are your views regarding Ghana which is refered to as a success story katika kuinua uchumi.Sijui ni indicators gani wanatumia maana the times I have been there sijaona tofauti sana na huku TZ kama ni watu kuchoka wamechoka kama siye tu.Pia wanategemea sana misaada ya kifedha na kitaalamu kutoka nje kama sisi.
 
Mkuu heshima mbele,

Sasa naomba nikuulize. Unasema yale maendeleo ya miaka ya Mwalimu ni matokeo ya misaada. Kaka mimi siwezi kubisha maana ni kweli tulikopa sana na anayekubeza nadhani hakutendei haki. Lakini je huoni kwamba it was much better, tulipata hiyo misaada na michache tukawekeza katika elimu, afya na mengineyo? Sasa leo ni nini tatizo? misaada tunapata tena mingi mno..na tunazidi kurudi nyuma. What is the problem? Leo tunaiba billions na tunapeleka Dubai..Imean pesa inakuja na wachache wanafaidi..

Kwa accountability Nyerere wasnt any better kuliko tulio nao leo..lakini kwa sababu ya spirit na uzalendo wake..nadhani ndo maana hata wengine waliogopa kuiba sana. WALIJUA kwamba wanajenga taifa moja. Leo siyo hivyo.

Kwa hiyo bado tunarudi kule kule kwamba Nyerere was much much better in allocating state resources.
 
Asante Za10 and good to see you again.
Hivi what are your views regarding Ghana which is refered to as a success story katika kuinua uchumi.Sijui ni indicators gani wanatumia maana the times I have been there sijaona tofauti sana na huku TZ kama ni watu kuchoka wamechoka kama siye tu.Pia wanategemea sana misaada ya kifedha na kitaalamu kutoka nje kama sisi.

WoS...

Ghana is doing better depeding you are comparing Ghana and who! Mimi na wewe tukienda hospitali..ingawa wote tunaumwa...naweza kusema mimi Iam doing fine..nikijiangalia kwa ku-compare na wewe ambaye hujiwezi..lakini Dr. akituangalia sote..anaona ni wagonjwa tuu..sema Masanja yeye ni nafuu kwa sababu tunamlinganisha na WoS.

So Ghana is a success story in Africa kwa sababu wanaicompare Ghana na wagonjwa wenzake. Kwa hiyo wewe kama WoS unaiona Ghana imechoka kama TZ...basi jua hali yetu ni mbaya sana than we might think! Ndo maana hujasikia Ghana is doing fine comparing with lets say Belgium. Ni better kwa kulinganisha na nchi zilizo katika "sub saharan Africa"..Ambako ndipo wewe na mimi tulipo...SAD BUT TRUE..
 
FACTS: Ghana
Population: 23.9 million (UN, 2008)
Capital: Accra
Area: 238,533 sq km (92,098 sq miles)
Major languages: English, African languages including Akan, Ewe
Major religions: Christianity, indigenous beliefs, Islam
Life expectancy: 60 years (men), 60 years (women) (UN)
Monetary unit: Cedi
Main exports: Gold, cocoa, timber, tuna, bauxite, aluminium, manganese ore, diamonds
GNI per capita: US $590 (World Bank, 2007)
Internet domain: .gh
International dialling code: +233

Facts: Bongo
Population: 41.5 million (UN, 2008)
Capital: Dodoma (official), Dar es Salaam (commercial)
Largest city: Dar es Salaam
Area: 945,087 sq km (364,900 sq miles)
Major languages: English, Swahili
Major religions: Christianity, Islam
Life expectancy: 51 years (men), 54 years (women) (UN)
Monetary unit: 1 Tanzanian shilling = 100 cents
Main exports: Sisal, cloves, coffee, cotton, cashew nuts, minerals, tobacco
GNI per capita: US $400 (World Bank, 2007)

Source: BBC

Tofauti kubwa mimi siioni!

Say Ghana has a bit higher Life Expectancy than Tz and per capita of 590$ compared to 400$ of TZ!

We are both very poor countries!

I have visited Ghana several times..pia nimefika vijijini..maisha ya vijijini sii tofauti sana SSA may be hivyo vijiji mnavyosema vya Moshi huko milimani ambavyo not typical Tanzanian villages!
 
WoS...

Ghana is doing better depeding you are comparing Ghana and who! Mimi na wewe tukienda hospitali..ingawa wote tunaumwa...naweza kusema mimi Iam doing fine..nikijiangalia kwa ku-compare na wewe ambaye hujiwezi..lakini Dr. akituangalia sote..anaona ni wagonjwa tuu..sema Masanja yeye ni nafuu kwa sababu tunamlinganisha na WoS.

So Ghana is a success story in Africa kwa sababu wanaicompare Ghana na wagonjwa wenzake. Kwa hiyo wewe kama WoS unaiona Ghana imechoka kama TZ...basi jua hali yetu ni mbaya sana than we might think! Ndo maana hujasikia Ghana is doing fine comparing with lets say Belgium. Ni better kwa kulinganisha na nchi zilizo katika "sub saharan Africa"..Ambako ndipo wewe na mimi tulipo...SAD BUT TRUE..

nimecheka kidogo - comparing Ghana na Belgium hahahah
- hali yetu kumbe ni mbaya sana! SIJUI LAKINI maana naona wote ni choka mbaya tu!
 
Mtu wa kuondoa umasikini Tanzania ni Maskini Mwenyewe. Period.

...na kweli. Jambo la kwanza Masikini anatakiwa akubaliane na hali yake kuwa ni masikini.

Halafu auchukie huo umasikini wake, kisha afikirie ni jinsi gani atakavyojinasua na huo umasikini, awe na dira, mipango maalumu, na mipango mbadala incase of mishaps,... mwisho utekelezaji wa mipango hiyo, ikiwemo kiwango cha ufanisi kuangalia harejei kwenye umasikini, wakati huo huo kuzidisha malengo alojiwekea.

Watanzania tunachukia Umasikini? Inawezekana tafsiri ya neno umasikini halijaeleweka kwenye jamii husika. Serikali inaposema ina mpango wa kupunguza, au kutokomeza umasikini maana yake ni nini?

kuna waliochangia katika thread ya; https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/5919-umasikini-ni-nini.html

Jamaa zetu wa Bunda ndiyo wanashika nafasi ya kwanza kwa umasikini uliokithiri Tanzania. soma ; Rais Jakaya Kikwete ametoa changamoto kwa wananchi wa Wilaya ya Bunda kuichukia hali ya wilaya yao kuwa ya 119 kwa umaskini

...Iwapo waliopo madarakani wanaamini njia pekee ya kuendelea kuwatawala wapiga kura wao ni pamoja na kuwanyima huduma muhimu ili waje kuzitumia kama 'peremende' kipindi cha uchaguzi, ujue hatua za kujinasua kiuchumi zitachukua karne nyingi zijazo kuja fanikiwa.

Kura ya Ndiyo au Hapana ndiyo silaha pekee ya mwananchi mnyonge wa Tanzania, badala ya huo MKUKUTA unaosimamiwa na hao hao mabwanyenye.
 
Mbu,
Umeng'ata penyewe haswa.Nadhani wananchi bado hawajaliona hilo.... na ndiyo maana wanaamini serikali itawaondolea umaskini.Serikali nayo ina mambo yake.Sisi kama intellectuals tuna our own share of the blame maana wengi wetu tunakuwa co opted into the same system ya kuwa marginalise walio maskini zaidi lakini je tuna JINSI? Tuna uwezo gani wa kuelekeza upepo uvume kinyume namkondo? im being philosophical ili labda in so discussing labda tutapata mawazo mazuri.
 
...Tuna uwezo gani wa kuelekeza upepo uvume kinyume namkondo? im being philosophical ili labda in so discussing labda tutapata mawazo mazuri.

...tatizo ninaloliona ni kubwa kuliko tiba. Imefikia hatua kila mtu analia "mama yangu!."

Chukulia mfano ukikatika nchi nzima, badala ya kuishinikiza serikali itafute suluhisho la kudumu, utaona wenye uwezo haoo wananunua majenereta ya umeme...

Maji hakuna, wenye uwezo haoo wanachimbisha visima, wanafunga pampu tatizo kwishnei!

huduma mbovu mahospitalini, wenye uwezo ndio haoo wanakwenda private hospital, tena huko nako wanalishia kidogo dogo wapate huduma ya chap chap...

Gap baina ya walio nacho (tabaka la kati, i.e wasomi, wafanyakazi maofinini, wizarani, viwandani) na lile tabaka la 'waganga njaa' aka daraja la chini aka kima cha chini aka wasio nacho (i.e walio vijijini, wamachinga, wachukuzi, wakulima wadogo, wavuvi, wachuuzi na kina mama ntilie nk) inazidi kujidhihirisha.

Walio chini wanawaona walio juu yao wanawasaliti, tabaka la kati wanaona walio juu (mawaziri, wakurugenzi, makatibu wakuu, mabalozi, wabunge, wafanyabiashara wakubwa nk) wanawasaliti... kwahiyo zinapokuja chaguzi, inakuwa rahisi kwa waliojuu kuwa bypass tabaka la kati, na kuwatumia walio wengi, ambao ni daraja la chini kufanikisha maslahi yao, iwe kisiasa nk... Hivyo ndoto ya kuwawezesha kiuchumi kuweza kupanda daraja inakuwa sifuri!

Daraja la kati litaziba vipi mpasuko huu, nawaachia wengine walifumbue...

(nakimbilia Gym kunyoosha misuli kidogo, nitarudi!)
 
Daraja la kati nalo linapambana kuingia kwenye daraja la juu.Mbio za kuingia bungeni kwa gharama yoyote ni njia mojawapo kufanikisha hili.Ukipata ubunge kuna uwezekano kupata uwaziri na hata ujumbe kwenye bodi mbalimbali.Daraja la chini badala ya kufikiria ni vipi wapande juu, wamejikatia tamaa wanabaki kusema " aliye juu mngoje chini" na pia wakirubuniwa wapigie kura ndo ivo tena.
Ila this is a time bomb!
 
Mkuu heshima mbele,

Sasa naomba nikuulize. Unasema yale maendeleo ya miaka ya Mwalimu ni matokeo ya misaada. Kaka mimi siwezi kubisha maana ni kweli tulikopa sana na anayekubeza nadhani hakutendei haki. Lakini je huoni kwamba it was much better, tulipata hiyo misaada na michache tukawekeza katika elimu, afya na mengineyo? Sasa leo ni nini tatizo? misaada tunapata tena mingi mno..na tunazidi kurudi nyuma. What is the problem? Leo tunaiba billions na tunapeleka Dubai..Imean pesa inakuja na wachache wanafaidi.. Kwa accountability Nyerere wasnt any better kuliko tulio nao leo..lakini kwa sababu ya spirit na uzalendo wake..nadhani ndo maana hata wengine waliogopa kuiba sana. WALIJUA kwamba wanajenga taifa moja. Leo siyo hivyo. Kwa hiyo bado tunarudi kule kule kwamba Nyerere was much much better in allocating state resources.

Masanja:

Labda nikubali kitu kimoja kuwa matumizi ya misaada kipindi cha Mwalimu yalikuwa na impact kubwa kwa maisha ya wananchi kuliko jinsi sasa.

Pamoja na hayo naomba niashilie kitu kimoja. Misaada tunayopata inaongozwa na wahisani.

Misaada ya mwanzo ilikuwa kwenye elimu, huduma ya Afya na maji. Tanzania ilijitahidi. Lakini uchumi haukuendelea.

Huduma za Afya zilipoongezeka zilikuza idadi ya watu. Wachumi wakaanza kusema kuwa kutokuwa kwa uchumi wetu kunatokana na kukua haraka kwa idadi ya watu. Hivyo misaada ikaanza kutolewa kwenye kampeni ya uzazi wa majira. Kabla HIV, kondom zilimwangwa kupunguza ongezeko la watu. Bado uchumi ukawa unakwenda kwenye negative.

Baadaye wakasema uchumi haungozeki kwa sababu serikali inajishughulisha na biashara. Hivyo tukitaka kuendelea ni lazima serikali ibinafsishe shughuli za biashara. Makampuni yameuzwa na bado uchumi unasusua.

Sasa hivi wanasema misaada itolewa kwenye serikali yenye good governance. Tanzania ili-pass kwenye mtihani wa good governance na misaada inamwangwa. Je misaada hiyo inajenga uchumi hilo ni suala la sisi kujiuliza.

Kwa upande wangu mimi misaada haijengi uchumi. Kwa sababu anayekusaidia anakunyima uhuru na ubunifu wa kufikiri hata kama misaada anayokupa ina nia nzuri.

Kwa mfano pamoja na mikoa ya Ruvuma, Rukwa, Mbeya na Iringa kuwa na uzalishaji mzuri wa chakula. Serikali haijafanya ya maana kuweka miundo mbinu ya kusafirisha chakula kutoka kwenye mikoa hiyo. Sababu kubwa ni kuwa kila tukipata njaa, wahisani wanaona ni vizuri kusafirisha chakula kutoka kwenye nchi zao kuliko kutoka sehemu moja ya Tanzania.
 
Asante Za10 and good to see you again.
Hivi what are your views regarding Ghana which is refered to as a success story katika kuinua uchumi.Sijui ni indicators gani wanatumia maana the times I have been there sijaona tofauti sana na huku TZ kama ni watu kuchoka wamechoka kama siye tu.Pia wanategemea sana misaada ya kifedha na kitaalamu kutoka nje kama sisi.

WoS:

Nina marafiki wengi kutoka Ghana. View yangu kwao ni kama view ninayoona kwa watanzania. Ukiuliza mGhana yoyote, the best president in Africa ni Kwame. Ukiuliza mtanzania, the best president ni Nyerere.

Kuhusu indicators, nadhani watakuwa mbele kidogo na kwa muda mrefu walikuwa ni nchi yenye madeni makubwa na utawala wa kijeshi.
 
Masanja:

Labda nikubali kitu kimoja kuwa matumizi ya misaada kipindi cha Mwalimu yalikuwa na impact kubwa kwa maisha ya wananchi kuliko jinsi sasa.

Pamoja na hayo naomba niashilie kitu kimoja. Misaada tunayopata inaongozwa na wahisani.
Misaada ya mwanzo ilikuwa kwenye elimu, huduma ya Afya na maji. Tanzania ilijitahidi. Lakini uchumi haukuendelea.

Huduma za Afya zilipoongezeka zilikuza idadi ya watu. Wachumi wakaanza kusema kuwa kutokuwa kwa uchumi wetu kunatokana na kukua haraka kwa idadi ya watu. Hivyo misaada ikaanza kutolewa kwenye kampeni ya uzazi wa majira. Kabla HIV, kondom zilimwangwa kupunguza ongezeko la watu. Bado uchumi ukawa unakwenda kwenye negative.

Baadaye wakasema uchumi haungozeki kwa sababu serikali inajishughulisha na biashara. Hivyo tukitaka kuendelea ni lazima serikali ibinafsishe shughuli za biashara. Makampuni yameuzwa na bado uchumi unasusua.

Sasa hivi wanasema misaada itolewa kwenye serikali yenye good governance. Tanzania ili-pass kwenye mtihani wa good governance na misaada inamwangwa. Je misaada hiyo inajenga uchumi hilo ni suala la sisi kujiuliza.
Kwa upande wangu mimi misaada haijengi uchumi. Kwa sababu anayekusaidia anakunyima uhuru na ubunifu wa kufikiri hata kama misaada anayokupa ina nia nzuri.

Kwa mfano pamoja na mikoa ya Ruvuma, Rukwa, Mbeya na Iringa kuwa na uzalishaji mzuri wa chakula. Serikali haijafanya ya maana kuweka miundo mbinu ya kusafirisha chakula kutoka kwenye mikoa hiyo. Sababu kubwa ni kuwa kila tukipata njaa, wahisani wanaona ni vizuri kusafirisha chakula kutoka kwenye nchi zao kuliko kutoka sehemu moja ya Tanzania.

Za10,
Katika hilo la misaada na masharti yake, kweli kwa muda mrefu huo ndio ulikuwa mwelekeo na hata Bilaterals pamoja na multilaterals ukiondoa mashirika ya Umoja wa mataifa waliweka masharti ikiwa ni pamoja na kuwa na utawala bora na kuheshimu haki za binadamu.Hapa karibuni nadhani miaka mitatu sasa, katika kuboresha ufanisi wa misaada, wadau wa maendeleo ( donors) na serikali walijadili na hatimaye kukubaliana na serikali kuwa misaada yote sasa ipitie mkondo wa bajeti ya serikali ( GBS - General budget support).Kwa maana hiyo basi pesa ya wafadhili ukiondoa USAID ambao Sera zao haziruhusu modality hii wanatumbukiza misaada yao katika bajeti na hawatoi tena misaada through projects ( project support ni kwa kiwango kidogo sana).Sijui kama kuna tathmini imefanywa kuona kama kuna ufanisi katika utaratibu huu.Angalau project support ulikuwa unaweza kufanya evaluation ya project na kuona kama yale malengo yamefanikiwa ukilinganisha na kiwango cha pesa iliyotumika.Sijui hili unalionaje.
 
Tutesekeje tena? kama sasa kuna watu baadhi ya mikoa wana njaa.Kuna watu wanaishi chini ya dola 1 kwa siku.Kuna watu wanakufa kila siku kwa kukosa shilingi elfu 2, 3 , 4 za kumwona daktari watibiwe.Kuna akina mama wajawazito wanakufa kila siku kwa kuishiwa damu.Wengine wanakufa kwakukosa huduma ya kuzalishwa na mkunga.Kuna watoto wanakufa wakiwa hawajafikisha miaka 5 na hii si haki.Kuna mamilioni ya watoto hawaendi shule kwa sababu mbalimbali.Kuna mamilioni hawana maji safi na salama.Hii ni kwa uchache - extremes.Bado kuna ishu kama mishahara midogo isiyotosheleza, kutokulipwa mishahara kwa wakati, Mgao wa umeme kufuatia mipango mibovu n.k.

Tusubiri mateso gani tena? Labda moto wa jehanamu!

Mkuu, kuorodhesha matatizo siyo kazi. Kazi ni kujua chanzo chake na suluhu yake. Je tunajua kwamba chanzo cha hayo matatizo ni serikali kwa sababu tunaongozwa na watu wabovu wasiojua wanalolifanya? Ndo maana nadhani labda tunahitaji dozi zaidi ili tufikie mahala tukune vichwa na tumtafute mbaya wetu na tubuni mbinu za kumtokomeza. Kama tungekuwa tunajua hayo tungeshamaliza kazi siku nyingi. Naona bado dozi ya matatizo haijatosha.
 
WoS:

Nina marafiki wengi kutoka Ghana. View yangu kwao ni kama view ninayoona kwa watanzania. Ukiuliza mGhana yoyote, the best president in Africa ni Kwame. Ukiuliza mtanzania, the best president ni Nyerere.

Kuhusu indicators, nadhani watakuwa mbele kidogo na kwa muda mrefu walikuwa ni nchi yenye madeni makubwa na utawala wa kijeshi.

Za10,

Kuna jamaa yangu wa Ghana ambaye nilikuwa naye kama week moja iliyopita alinishangaa wakati namweleza kuhusu upotevu wa zaidi ya $1bn katika dili za kifisadi kupitia viongozi wa dola na wapambe wao. Alinambia kuwa wakati wa Jerry Rawlings waliunda kikosi cha kupambana na rushwa ambacho hadi sasa kinafanya kazi nzuri. Ukiacha tatizo la muundo wake kwamba wakuu wake ni maofisa wakuu wa jeshi na polisi, jamaa alisema hiyo anti-corruption unit inatisha sana. Alinambia kuwa baada ya uchaguzi kuna baadhi ya kesi za rushwa ambazo rais mpya ameagiza zishughulikiwe haraka. Matokea yake watu wanataka kufa kwa pressure na tayari waziri mmoja wa zamani kakamatwa uwanja wa ndege akitaka kuingia mitini. Jamaa anasema kuwa Anti-corruption kama yetu iliyochini ya rais haiwezi kamwe kufanya kitu. Hata kwao wanayo ya dizaini hiyo ambayo wananchi hawajui hata inachokifanya. Kwa ufupi PCCB yetu ni sehemu ya drama ya uongozi wa hovyo na ufisadi! Nadhani tunahitaji jeshi kidogo ili tupige kwata. Hata nidhamu ya wanafunzi wa Mgulani na Makongo siyo sawa na Kinondoni Muslim!!
 
Womenofbstance na Wanakijiji!

Hayo maneno yasiwachanganye hata kidogo!!. Kwa muda mrefu yamekuwa yakibadilishwa kila mara yanapokosa ladha!! Just imagine... Mkukukuta ;Mkurubita;POA;REPOA ni njia inayotumika kuwadanganya wajinga period!

Nilikwisha sema hao walalahoi ambao ndio wengi ndio wa kulaumiwa kwa ujinga wao wa kukubali kila upuuzi wanaoambiwa na watawala!

Haki hata siku moja haiombwi ehee!! Unaamka na kijinyakulia ukingojea kuonewa huruma au kupewa ujue imekula kwako haki ya mungu nawambieni!!najua mna macho lakini hamuwezi kuona na masikio mnayo lakini hamtaki kusikia !! Hata hao Wadosi wa USA kwa Obama wamekuja na maajabu yao wanayaita Millenium Challenges Corpopration. Huu ni ujuha anakuletea USD 800m Lakini utaambiwa 60% wataimport only American goods,20% goes to MANAGEMENT ya kwao; 5% watapewa watu vijiposho ilyobakia italipa Mnagement ya Bongo. Yote hi ni kuganga njaa wnaofaudu zaidi ni wale wanatoa ile misaada na bado mtaleta PEACE CORPS kibao hamjui ajira hata kule Carlifornia ni tabu eee!!! Niliambiwa kama PAPA angejua kwamba Condoms ni biashara kama ya sangara kwa hiyo msipotumia condomns mnaleta mtikisiko wa uchumi katika nchi zilizoendelea!! Badala ya kuelimisha watu jinzi ya kupapambana na mbu na mzalia yao hao wapumbavu wanawambia wanatoa hati punguzo kwa watoto wachanga wanunue mosquito nets je ikitobaka wataleta nyingine upuuzi mtupu.

Miaka ya 70 nilitembelea kule TPRI ilipokwa ya East African Community walikuwa na progaramu ya kuzalisha mbu wala mbu na wakasema kama wangetekeleza huu mradi mbu wanaosambaza Plasmodium Africa ya Mashariki waangekwisha hadi kufikia 1985!!

Leo hii bado tunahangaika na kubadili madawa mara chloroquin imepigwa marufuku mara metakefin mara uanasikia ALU this is total confusion na mbu bado wanapeta. Tukiendelea kulumbana na haya maneno itafika asubuhi....kukubali - KATAA!!! Kama Fredirick Sumaye alilala mbele na madawati mapaka akaondoka leo tunaambiwa kwamba kuna shule ya MSINGI hapo Kimara Dar es salaam inafungwa kwa sababu wanafunzi 1100 wana walimu 11 tu hakuna choo wala madawati hakuna yet Waziri anakaa Dar, Waziri Mkuu yupo Dar!! Rais yuko Dar NA DC YUPO, MKURUGENZI WA wizara na Mnaispaa wapo hawoni; wazazi wapo wanacheka na kuangalia mpira na rais anaishia kwenda kwenye Hitima ya marehemu Shaban Mloo BILA aiibu ameva kanzu na koti kama mwislam saffi na kuwasifu CUF kwa kufanya mkutano kwa amani!!!! Common!!!! This is not serious business na sie tunalumbana kuhusu Mkukuta ,mkurubita mkakati,, ujasiriamali... usawa wa MKAPA!!!

TUCHANGIE SHILLINGI MOJA MOJA KILA SIKU KWENYE AKAUNTI YA MWANAKIJIJI TUFUNGUE HIYO SHULE MNASEMAJE!!!! kILA MTU ATOE HATA KAMA YEYE NI MKAPA AU MWINYI!! pensheni zao si nono!!!!
 
Mkereme,

Nimeguswa na hiyo dimension ya nani anafaidika na hiyo misaada na kwa kiwango gani.

Hili suala la Albino tayari limeshafanywa dili na wazungu.Tayari Canadian Organisation imeshaingia nchini ati kuja kupambana na zahama hii! Huu si ni utapeli wa wao kujitafutia ujiko? Unajua international NGOs NYINGI zinaanzishwa nchini kuja kudaka fedha hizo za nchi zao wanazotoa kama ufadhili.Fikiria kwanini kwa mfano Universities kama Minesotta, Johns Hopkins, City University of New York, zimeingia tz na kuanzisha miradi ambayo inafadhiliwa na nchi zao.Kwanini local NGOs zisiachwe kufanya hizo kazi??

Kwani serikali yetu haijaliona hili? Kwanini hawakatai? Sheria ya usajili wa NGOs inasemaje?
 
...mnaikumbuka "Stimulus" Package ya Kikwete?

View attachment 4182

...hivi, yale mabilioni ya Kikwete yaliyotolewa kwa mbwembwe toka CRDB bank kwenda kwenye SACCOS (Approx 1870) ambayo inahusisha kama 0.7% ya watanzania wote yamefaidishaje MKUKUTA?

Serikali ina mkakati wowote kufanya Review ya mafanikio, Hasara ya kutolewa kwa pesa hizo? iwapo wenyewe wenye kusimamia hizo SACCOS wanasema;

the problem in Tanzania is lack of knowledge of what SACCOS are and what the societies can do to make us less poor.

Besides, our SACCOS, according to a survey are managed by individuals who do not have managerial and financial expertise.

The Executive Secretary of the Savings and Credit Union League of Tanzania (SCULT), Abdul Shaweji said recently that the SACCOS also lacked co-operative officers, auditors, inspectors and consultants

...mlolongo huo wa matatizo; Lack of Knowledge, Lack of Co op officers, lack of Auditors, Lack of Inspectors, Lack of Consultants... don't you think "hayo mabilioni" was doomed to fail?
 
...mnaikumbuka "Stimulus" Package ya Kikwete?

View attachment 4182

...hivi, yale mabilioni ya Kikwete yaliyotolewa kwa mbwembwe toka CRDB bank kwenda kwenye SACCOS (Approx 1870) ambayo inahusisha kama 0.7% ya watanzania wote yamefaidishaje MKUKUTA?

Serikali ina mkakati wowote kufanya Review ya mafanikio, Hasara ya kutolewa kwa pesa hizo? iwapo wenyewe wenye kusimamia hizo SACCOS wanasema;

...mlolongo huo wa matatizo; Lack of Knowledge, Lack of Co op officers, lack of Auditors, Lack of Inspectors, Lack of Consultants... don't you think "hayo mabilioni" was doomed to fail?

Mbu, hiyo sidhani ilikuwa stimulus package. Ilikuwa ni "thank you gift pack from the new President of Bongo Darisalama", tena kwa wajanja wachache. Stimulus package hawezi kwenda tu bila mpangilio kama hayo mahela yalivyotupwa tupwa hovyo!
 
...ndio maana nikawekea " " (pressumption), maana haiingii akilini mabilioni hayo yalikusudiwa nini iwapo kwenye website ya Ikulu pia hawajui waanzie wapi kufanya review.

soma; Ikulu Mawasiliano: Wako wapi walionufaika na mabilioni ya JK? Rais aagiza awaone
 
Back
Top Bottom