Zakumi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2008
- 5,063
- 2,478
Salamu WoS:
Kuna thread kule kwenye ukumbi wa siasa (Lost Decades - In Search of Ujamaa). Katika thread hiyo nia na madhumuni yangu ilikuwa kuonyesha kuwa misaada ndio inayotufanya turudi nyuma.
Na katika thread nyingi najaribu kuonyesha kuwa yale matokeo ya maendeleo katika miaka ya 1971-1981 katika fani za elimu, afya na huduma za jamii yalichangiwa kwa kiasi kikubwa na misaada kutoka nje na wala sio siasa safi na uongozi bora. Ninazo liteture nyingi za ku-support ninayoyasema.
Lakini kwa sababu, mafanikio haya yalitokana wakati Mwalimu akiwa madarakani, basi yote ninayoyasema yananifanya mimi kuwa pariah, outcast, mwalimu hater.
Ninakubali titles zote ninazopewa, lakini one has to remember kuwa hili tatizo ni Africa nzima. Kwa mfano ukichukua kipato cha Zambia wakati inapata uhuru, tungetegemea kuwa Zambia ingekuwepo kwenye kikao kilichomalizika cha G20. Lakini leo Zambia hipo kwenye ligi moja na Tanzania. The same could be said about Ghana and Nigeria.
Niliponunua kitabu cha The Elusive Quest for Growth by William Easterly kitu cha kwanza niliangalia index ya kitabu hili nipate maoni yake kuhusu Tanzania na haya ndio aliyosema:
The World Bank helped to finance the Morogoro shoe Factory in Tanzania in the 1970s. This shoe factory had labor, machines and the latest in shoe-marking technology. It had everything except-shoes. It never produced more than 4 percent of its installed capacity. The factory, which had planned to supply the entire Tanzanian shoe market and then export three-quarters of its planned production of 4 million shoes to Europe, never exported a single shoe. …. The production finally ceased in 1990.
Morogoro Shoe Factory was owned by the government of Tanzania, a government that had failed at every big and small development initiative since independence.
Kama conclusion la mchumi huyu wa benki ya dunia ni kuwa serikali ya Tanzania imeshindwa katika initiatives ndogo au kubwa toka tumepata uhuru, kwanini MKUKUTA ifanikiwe wakati mind-set ya watendaji ni ileile?