KERO Mkulima amepanda Mabingobingo kwenye Makazi, Wananchi tunahofia Usalama wetu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Katika Mtaa wa Nguku, Kata ya Nyandoto, Tarime Mjini, wananchi wanaishi katika hofu ya usalama baada ya mkulima mmoja kupanda mabingobingo (Napier Grass) katikati ya makazi ya watu.

Nyasi hizo zimekuwa zikizua wasiwasi mkubwa kwa wakazi kutokana na urefu na wingi wake, hali inayodaiwa kutoa mazingira yanayoweza kuhatarisha usalama wa eneo hilo. Wananchi wameomba mamlaka husika kuchukua hatua mapema ili kuondoa hofu iliyopo miongoni mwao.

17794313192665529644377284794414.jpg
 
Amelima Eka ngapi Mheshimiwa?
 
Jitahidi ufanye finishing mkuu, huo muda wa kuwafuatilia majirani tafuta hela.
Wananchi wamekuwa watu wa hovyo sana mtu Shamba lake anitumie anavyotaka? Wanaogopa hadi Nyasi eti ndefu? Tarime ya Leo ni vichekesho
 
Back
Top Bottom