antanarivo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2018
- 450
- 883
Wakuu nipo mkoa Fulani huku Kanda ya ziwa, nimelima mazao hekari 10. Nne za mahindi na 6 za mpunga
Kati ya hekari 4 za mahindi hekari 2 na nusu ziko vizuri na mbolea niliwekea so sasa hivi nasubiria kuvuna hii February
Kati ya hekari 6 za mpunga heka 4 na 1/2 nimeotesha vizuri na ekari 1 na 1/2 bado kupandikiza tu mbegu zipo kwenye kitalu
Ila nimekwama tu hela ya palizi hekari 1 na kupandikiza heka 1 na 1/2, kiasi Cha TSH 100000(laki moja)
Naomba mtu wa kuniamini niweze kumrudishia 120000 mwisho wa mwezi
Maana nipo dilema Kila nikipiga mawazo namna ya kujikwamua hapa naona stoki
Mwenye kuniamini aniamini wakuu..
Nimepambana sana Hadi kufikia hapa ila nataka kuaibika mwishoni