Mi nasubiria zamu ya wale tunaowachukia!
sikusoma masomo ya scince coz mwalimu mmoja wa O-level alikuwa ananikosesha amaniyani hakuwepo hata m1 uliyempenda? Umenikumbusha o levo nilikacha somo la kifaransa ili nipate muda wa kupiga math na physics kwa uhuru bac ticha wa french akanimaindi weeeh nilimpa za uso akanipeleka kwa headmistress........
sikusoma masomo ya scince coz mwalimu mmoja wa O-level alikuwa ananikosesha amani
ndo hivo tena amenisababisha nisome mambo ya what is democracy
horizontal huko sikwepo kivile,niliamua nijitume kule kwa african primitive society
We acha tuMmmh mbona umeandika kwa feelings,kuna siri flani nini?
Mwal Nahato, mwalimu wa english p5.
Ms mushi mwl wa english p3
mwalimu mikah wa jiografia
nilikuwa nawapenda sana. Mwalimu.mikah named his daughter after me, alikuwa ananipenda kweli jamani.
mwl. monica (kwa sasa ni marehemu) huyu alinifundisha kuandika katika hatua ya awali kabisa ya kuumba maneno.
copy to platozoom, je huyu mwalimu unamkumbuka?
Mwalimu Philipo Mulugo kwa sasa anafundisha Zimbabwe Ireland, alinifundisha formular ya kuchochea kuni mbichi na zikaivisha .
Nasubiri ajitokeze mwanafunzi wangu hapa anitaje, kasheshe ni pale unagundua kuwa una flirt na teacher wako humu dah!