Mkumbuke mwalimu wako.

Mkumbuke mwalimu wako.

Hivi we Nyumbu ulishawahi kucheza mpira kwenye shule moja ya VTC,kila siku mkifunga ulikuwa unajifanya
una mori ya kupigana.
 
Last edited by a moderator:
Mi nasubiria zamu ya wale tunaowachukia!

yani hakuwepo hata m1 uliyempenda? Umenikumbusha o levo nilikacha somo la kifaransa ili nipate muda wa kupiga math na physics kwa uhuru bac ticha wa french akanimaindi weeeh nilimpa za uso akanipeleka kwa headmistress........
 
yani hakuwepo hata m1 uliyempenda? Umenikumbusha o levo nilikacha somo la kifaransa ili nipate muda wa kupiga math na physics kwa uhuru bac ticha wa french akanimaindi weeeh nilimpa za uso akanipeleka kwa headmistress........
sikusoma masomo ya scince coz mwalimu mmoja wa O-level alikuwa ananikosesha amani
 
horizontal huko sikwepo kivile,niliamua nijitume kule kwa african primitive society

hahahah wataka niambia ulikuwa hujilazi kwa bed then unameza points za history?
 
hahahah wataka niambia ulikuwa hujilazi kwa bed then unameza points za history?

hahahaha saa mbili unajifanya unalala saa nane usiku unaamka,halafu madirisha hayana vioo mbu wanapenya
 
Mmmh mbona umeandika kwa feelings,kuna siri flani nini?
We acha tu
Mwl Hezron alikuwa naongea na mie with respect and passion
Kutoka ndani ya figo zake, dah alini-impress sana

Huyo mwingine, he expected the best from me, so nilikuwa nafanya ili kum-impress

Mwal Nahato, mwalimu wa english p5.
Ms mushi mwl wa english p3
mwalimu mikah wa jiografia
nilikuwa nawapenda sana. Mwalimu.mikah named his daughter after me, alikuwa ananipenda kweli jamani.

Jografia wee ulipapenda? Mbona palikuwa na baridi sana?
 
mwl. monica (kwa sasa ni marehemu) huyu alinifundisha kuandika katika hatua ya awali kabisa ya kuumba maneno.
copy to platozoom, je huyu mwalimu unamkumbuka?
 
Last edited by a moderator:
mwl. monica (kwa sasa ni marehemu) huyu alinifundisha kuandika katika hatua ya awali kabisa ya kuumba maneno.
copy to platozoom, je huyu mwalimu unamkumbuka?

Kwa nini nisimkumbuke? alinifundisha vizuri sana, na kwa kipindi kifupi nikaelewa kuandika vizuri. Mtoto wake Sunday na Deus...... pia Deus nakumbuka alipomaliza darasa la saba tu akaoa!!

Namkumbuka mwalimu wangu Sheba na English teacher Darasa la tatu Maisori..............Bila kumsahau Mwalimu mmoja (Kaswaka) wa chuo alikuwa BTP na akatufundisha Kiswahili tulimpenda saana kwa sababu ya hadithi zake za Chaupele!!!

Halafu kwa nini na wewe unarudisha kumbukumbu za kunitoa machozi?
 
pole sana, duh mwl sheba na maisori nawakumbuka sana. ila umemsahau mwalimu rugumba chekechea duh nakumbuka uji ulikuwa unapikiwa kwa mwl mkuu maduka!
 
Mwalimu Philipo Mulugo kwa sasa anafundisha Zimbabwe Ireland, alinifundisha formular ya kuchochea kuni mbichi na zikaivisha .

Huyo katufundisha wengi, kwa sasa yupo Zimbabwe Island mkuu Judgement, rekebisha kidoogo hapo juu
 
Last edited by a moderator:
Nasubiri ajitokeze mwanafunzi wangu hapa anitaje, kasheshe ni pale unagundua kuwa una flirt na teacher wako humu dah!
 
Mwalimu Maeda
Mwalimu Rwetabula
Mwalimu Kamugisha
Mwalimu Elisha
Mwalimu Ambali
Mwalimu Msemakweli
 
Tena kuna wale waalim wenye tabia za akina babu seya nao naomba kibali cha kuwataja humu humu.

Nasubiri ajitokeze mwanafunzi wangu hapa anitaje, kasheshe ni pale unagundua kuwa una flirt na teacher wako humu dah!
 
Mrs Masinde(R.I.P)-first teacher,mwl Francis civics P5&6,Mwl Marwa,Mr Joseph(Doctor),Mwl chagula,Mwl sawaki-waalimu wa Arusha School,enzi hizo.
Mr Dudu/Lobilo,Mwl Protii,Mwl Mafikiri-Economix,Mwl Malikita(R.I.P),Mkemia(maskio),Miss Rihanna(madam ushungi),Mwl Simbano-Umbwe boyz

***hao highlighted in RED,ni wakali hakuna mfano,waliowahi kupitia huko wanafahamu.
 
Mwl Nassoro(Mama Nassoro) hapo Mbuyuni Primary miaka hiyo Tambaza wanapita mashuleni kugawa mkong'oto...

Mwl Mwaimu, Sepeku, Sisco(R.I.P) kule Changa Primary mkoani Tanga...

Mama Blanca Lusoujack miaka hiyo Ilboru Sec...
 
Back
Top Bottom