Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kabisaJamaa alienda kugongea akadhani fegi.
Alienda kuomba kama mzambia, watanzania hatuna shobo za hivyo.Isitokee Kama michuano ya AFL, hakika mwamba aliitia aibu Simba sc kwa kuomba juisi za Al ahly.View attachment 2947790
Duh!..Chama ni professional yule mimi ni Yanga ila alichofanya Chama alikua sahihi alitaka kujua hawa wahuni wanakunywa Juice za kawaida au zinaongeza nguvu ndio maana wahuni walimnyima sasa ilitakiwa Simba wajiongeze kuhusu kupimwa kwa Wachezaji wa Al Ahly kama inawezekana sema ndio hivyo Viongozi wao hao wakina Mangungu hakuna kitu wanajua...Wazambia mambo ya mpira wapo mbele ya muda kuliko sisi...
Lile tukio lingetokea kwa mchezaji wa Wydady au Mamelodi tungesikia mambo ya Wachezaji kupimwa ila kwa sababu limetokea kwa watu wa Uchaguzi kwanza mambo mengine baadae limeisha hivyo hivyo...
Usipuuzwe![emoji120]Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.
KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....
MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.
MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
Kama anavyopigwa aliyekuzaa [emoji41]We baki na wachezaji wenu wa kichawi na majini.
Huku Simba utapigwa Mb,@
NIPE MATOKEO
Rejea tukio la Aziz ki vs al ahly ndo utaelewa tunaongelea nininyie hamjui mpira ama kwa makusudi mnajifanya kutokujua
Madaktari wa timu A wakiingia uwanjani ni jambo la kawaida kwa mchezaji wa timu B kuomba maji ama juisi
Duniani kote iko hivyo labda kama mnafuatilia NBCPL peke yake
Acheni ushamba fuatilieni mpira