Mkumbusheni mwamba wa Lusaka (Chama) kuwa juisi za wachezaji wa Al Ahly zimekuja kwa idadi hakuna Shea yake

Mkumbusheni mwamba wa Lusaka (Chama) kuwa juisi za wachezaji wa Al Ahly zimekuja kwa idadi hakuna Shea yake

Itafurahisha sana na leo akienda kuwaomba Juice. Kwa ajili ya comedy na sportmanship tu🤣🤣
 
Chama ni professional yule mimi ni Yanga ila alichofanya Chama alikua sahihi alitaka kujua hawa wahuni wanakunywa Juice za kawaida au zinaongeza nguvu ndio maana wahuni walimnyima sasa ilitakiwa Simba wajiongeze kuhusu kupimwa kwa Wachezaji wa Al Ahly kama inawezekana sema ndio hivyo Viongozi wao hao wakina Mangungu hakuna kitu wanajua...Wazambia mambo ya mpira wapo mbele ya muda kuliko sisi...
Lile tukio lingetokea kwa mchezaji wa Wydady au Mamelodi tungesikia mambo ya Wachezaji kupimwa ila kwa sababu limetokea kwa watu wa Uchaguzi kwanza mambo mengine baadae limeisha hivyo hivyo...
Duh!..
 
Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
Usipuuzwe![emoji120]
 
Post kama hizo zinasababisha JF ionekane kituko.

Zinapoteza maana halisi ya Home of great thinkers.
 
We baki na wachezaji wenu wa kichawi na majini.

Huku Simba utapigwa Mb,@
 
Huyo mmoja mbona wamemtoa jicho mapema.ataweza kweli?
 

Attachments

  • Screenshot_20240329_151400_Facebook.jpg
    Screenshot_20240329_151400_Facebook.jpg
    111.1 KB · Views: 1
nyie hamjui mpira ama kwa makusudi mnajifanya kutokujua

Madaktari wa timu A wakiingia uwanjani ni jambo la kawaida kwa mchezaji wa timu B kuomba maji ama juisi

Duniani kote iko hivyo labda kama mnafuatilia NBCPL peke yake

Acheni ushamba fuatilieni mpira
Rejea tukio la Aziz ki vs al ahly ndo utaelewa tunaongelea nini
 
Back
Top Bottom