Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekutabiria hivo, usiogope!!!!!
Tuambie, utafanya nini ati................Wallah ikipita hiyo kesho namfata majaliwa hadi kwake! Hahaha! Loh!
Tuambie, utafanya nini ati................
Mie niliisha jiandaa kisaikolojia nkaichagulia MTWARA na SONGEA na sidhani kama kuna worst places kama hizo.
Flash mbona nasokia aliondoka nayo MULUGO?haha! Ntamuomba flash ya majina !!
Flash mbona nasokia aliondoka nayo MULUGO?
wewe umepangwa kasulu kigoma nimeona jina lako!
Ukimtoa waziri we mkari.................haaah! Nitamuomba anipeleke hukohuko kwa mulugo!!
Kuna watu wameshajua vituo vyao leo....chezea Tanzania nini?
kuna watu kweli jaman wameshajua vituo vyao vya kazi asaiv tunavyoongea hata sielew walikoyapata hayo du kaz kwelkweli...
Nikifika kule, kitu cha kwanza inabibi nijifunze jinsi ya kukwepa radi maana nasikia kule hata kipindi cha jua kali radi zinapiga.
jaman mbona kuna watu wanasema tayar wameona post zao na walikopangwa? hii ikoje waungwana!...
jaman mbona kuna watu wanasema tayar wameona post zao na walikopangwa? hii ikoje waungwana!...
Kama unapenda mawese kwa Mwakyembe (KYELA) yapo mengi sana na kule suala la msosi halinaga shida kabisaaaaaaaaaa yaani ukiwa kule wembamba huo unapotea kabisaaa.......hahaha! Mi nawaza hayo mawese walah ntakuwa nakula chukuchuku! Dah!