ledman
Senior Member
- Feb 6, 2014
- 103
- 7
hahaha! Hataree! Naskia ntwala kuna nyani mbaya!!
Munkari acha kunitisha bwana na hayo majina yatoke tu jama roho zitulie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha! Hataree! Naskia ntwala kuna nyani mbaya!!
Munkari acha kunitisha bwana na hayo majina yatoke tu jama roho zitulie
ndo hivyo! Tena huko sikonge usafiri ni baiskeli,ngoja mkatoke mabusha! Hahaha!
Uwiiiii watatoka wanaume bwana sio sisi
haah! Hiv wanawake hawanaga mabusha eeh! Loh watakoma!
Wengi wetu tutaishia kusikiliza TBC ktk mashindano ya kombe la dunia! maana kijiji kizima hakina T.V na mtandao ya simu ndiyo usiseme, watabaki wachache humu JF@
Leo ni leo wadau, ikipita leo kwa kweli sitakuja kumwami politician yeyote tz.