Mkumbusheni waziri wa Elimu

Mi yangu macho na maskio! Hapa nawaza katavi,tandaimba,simiyu na kishumundu! Hahaha!loh! Mtafutano!

Munkari itafahamika kesho kuwa tumepangwa wapi ila simiu dah yn hapa nawazaje
 
Kama unapenda mawese kwa Mwakyembe (KYELA) yapo mengi sana na kule suala la msosi halinaga shida kabisaaaaaaaaaa yaani ukiwa kule wembamba huo unapotea kabisaaa.......

siyapendi banaa! Nikiyaskia harufu tu navomit!!
 
Mungu nisaidie nibaki MORO! Loooh ngoja ninunue simu inayotunza charge, hakyanan wengi watapungua humu JF coz wanakokwenda hakuna hata mtandao@ ni xhiiiida@
 
Mimi nashangaa wamenipeleka tunduma nikafanye nini huko? Tunduma yenyewe nimesahau hata kwenye ramani imenilazimu kununua Atlasi. Nimeikuta huko mbea. Jamani hata sikuchagua huko. Kumbe uchaguzi haumati kitu. Loo!

mkuu, umejuaje?
 
mkuu, umejuaje?

Hapa Nairobi nina jamaa wangu expert wa Computer. Ana uwezo wa kuingia hata kwenye server za kitaifa na kudokoa data muhmu. Aliniambia tangu wiki mbili zilizopita. Ila msiwe na shaka yanaachiliwa kabla ya saa 5 usiku. Wameseti system yao mda ukifika inajiset.
 
Mimi nashangaa wamenipeleka tunduma nikafanye nini huko? Tunduma yenyewe nimesahau hata kwenye ramani imenilazimu kununua Atlasi. Nimeikuta huko mbea. Jamani hata sikuchagua huko. Kumbe uchaguzi haumati kitu. Loo!

miye wamenipeleka palepale nilipotaka aisee! Rahaje!!he he he!
 
Hongera yangu mie kila msosi nakula bila tabu, we wapendelea maeneo gani?

khaaa! Hayo mafuta aisee hata yapikiwe nyama sigusi!! Hongera yako weye! Aah miye kule kwenye mabaridi mengi aisee!
 
duu! Mayoo nene!! Nitakomaga mimi! Wakinipelekaga huko!! Hii! Sitayaona mabhugandho ya kariakoo tena! Jhamanii!!

Ha ha ha ha ya sawa na jina lake kuko dididi yn ni kijijini nasikia acha ee Mungu saidia tu dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…