Mkumbusheni waziri wa Elimu

Nasikia bajeti ya katiba imevuruga kila kitu so subira yavuta heri labda bunge likimaliza muda wake tujipe moyo!
 
Wengi wetu tutaishia kusikiliza TBC ktk mashindano ya kombe la dunia! maana kijiji kizima hakina T.V na mtandao ya simu ndiyo usiseme, watabaki wachache humu JF@
 
nyie laleni mkiamka mtayakuta kwa web, nawatakieni maandalizi mema.
 
Ila vijiji vinavyowalaza watoa walimu na kuwalaza nje kama walivyozaliwa ni noma sana eti kisa umemchapa mwanafunzi khaaa
 
Mshahara wa kwanza nunua solar power ili simu isisumbue
 
Wengi wetu tutaishia kusikiliza TBC ktk mashindano ya kombe la dunia! maana kijiji kizima hakina T.V na mtandao ya simu ndiyo usiseme, watabaki wachache humu JF@

Wewe unaitwa Ramadhani Mchoropa umepangwa simiyu maswa vijijini
 
Leo ni leo wadau, ikipita leo kwa kweli sitakuja kumwami politician yeyote tz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…