Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,814
- 2,738
■ Inasafisha kizazi
■ Inazibua mirija iliyoziba
■ Inaondoa sumu kwa wale waliotumia sindano za uzazi/vidonge vya uzazi.
■ Inakomaza mayai kwa wale wenye tatizo la mayai kutokukomaa na kusababisha mayai kutokupevuka
■ Inasogeza kizazi karibu kwa wale ambao vizazi vyao vipo mbali
■ Mizizi ya mkunde pori na mziwaziwa pia ni dawa ya kuongeza nguvu za kiume
- Dalili mojawapo itakayokufanya ujue dawa hii ya mkunde pori inafanya kazi ni kwenda haja ndogo mara nyingi kuliko kawaida.
- Dalili nyingine ni tumbo kuvuta sana chini ya kitovu.
ANGALIZO KWA WANAWAKE WATAKAOTUMIA KWA AJILI YA UZAZI, Ukinywa dawa hii hakikisha siku za hatari unakutana na mwenzi wako...na baada ya hapo usitumie dawa mpaka upime mimba kwanza maana mimba nyingine dalili zake huchelewa kuonekana hivyo unaweza ukanywa tena mimba kama imeingia ikatoka.
Wajawazito hawaruhusiwi kutumia.
MATUMIZI
CHUKUA UNGA WA MIZIZI ya mkunde pori na mziwaziwa CHEMSHA KISHA KUNYWA ASUBUH MCHANA NA JIONI KWA UJAZO WA GLASS YA MAJI AU KIKOMBE CHA CHAI
TUMIA KWA SIKU 7 kabla ya kuingia period/mwezini.