MKURABITA! Historia za Kweli jinsi wadau(Tz) walivotoka kiuchumi. Ngombe 1 mpaka kumiliki Ranch!

KWA HIYO TULIOKULIA KIJIJINI TUNALALA NYUMBA MOJA NA NDAMA, MBUZI n.k tumeathirika na harufu ya mbolea?
 

Ofcourse its a fact kuwa ni utumwa kuajiriwa coz lazima ufanye atakavo muajiri wako lasivo anakufukuza au kukuomba uondoke mwenyewe!!!!!!!! (Pardon me i have got no sense of humor)
 

Safi sana dada kwa uhamasishaji.
Ebu weka ni mifano yako binafsi kadhaa itujaze mori!
 

i like it.
 
Kujiajili ni vita sio tambarare. Thiery ni simple practical ni vita.
 
stori nzuri sana lakini kimsingi huyo ni mtu wa makamo ambae umri umeenda...maana ukitoa tangu alivyoanza kazi from 90's si less than 18 yrs or so..design anagonga..40..something huko mim nikajua ni mwenzangu na mie around mid twenties or early 30's..so kwa utu uzima wake ni kheri yake..all in all point ya msingi ni uwekezaji ambayo nimeshainote..OVER..!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…