Plot4Sale Mkuranga heka 10

Plot4Sale Mkuranga heka 10

Latoyamrosso

Member
Joined
Oct 26, 2019
Posts
26
Reaction score
12
Habari, nauza shamba heka 10 na heka 4 zipo kijiji cha pili kutoka kimanzichana kilometer moja kutoka barabara ya kilwa.

Shamba la heka 10 ni shamba Pori linafaa kwa kilimo na ufugaji, matumizi ya baadae litafaa kukata Viwanja maana barabara ya kilwa ikipanuliwa yenyewe itakuwa kiwanja cha kwanza hili lote nauza kwa 15m bei inaongeleka na inapunguzika.

Heka nne zipo eneo moja na hill la heka 10 linatofautishwa na shamba la mtu katikati, la heka nne ni shamba safi lina minazi, mikorosho na mananasi bei yake ni 7m kwa lote bei ina maongezi kidogooo.

Karibu sana ujipatie shamba kutoka Mkuranga.

Kwa mawasiliano
0686598829
IMG_20200717_092503_640.jpg
IMG_20200717_092503_641.jpg
IMG_20200716_213000_316.jpg
IMG_20200716_164411.jpg
IMG_20200716_164241.jpg
 
Kilometers 65 nauli kutoka mbagara hadi hapo ni 2800

Nadhani ni zaidi kidgo maana hadi pale lwq bruda kutokea dar ni km 80 hadi pale mbele ya ngunja kidogo katika shamba la marehemu masudi fikirini nadhani ni km 90 so hapo ngunja ni 85+
 
Ila bado sio mbali sehemu ambayo ukiwa na private unaendesha gari si zaidi ya saa 1 sio mbali, na bahati maeneo hayo ni ya makazi na viwanda hivyo bado fursa ni nzuri kwa muwekezaji wa kweli. Maana hapo ngunja nilisikia kuna muwekezaji wa chikichi bonde la pundi sijui aliishia wapi
 
Nadhani ni zaidi kidgo maana hadi pale lwq bruda kutokea dar ni km 80 hadi pale mbele ya ngunja kidogo katika shamba la marehemu masudi fikirini nadhani ni km 90 so hapo ngunja ni 85+
Yes sorry ni 85 maana mpaka mkiu nina mashamba mengine ni 100
 
Ila bado sio mbali sehemu ambayo ukiwa na private unaendesha gari si zaidi ya saa 1 sio mbali, na bahati maeneo hayo ni ya makazi na viwanda hivyo bado fursa ni nzuri kwa muwekezaji wa kweli. Maana hapo ngunja nilisikia kuna muwekezaji wa chikichi bonde la pundi sijui aliishia wapi
Yes siyo mbali. Hata mimi nilisikia lakini sijui kaishia wapi huyo mtu
 
Back
Top Bottom