Mkurugenzi AMSONS: Kampuni za Kichina ni tishio Afrika Mashariki

Serikali inachotakiwa kufanya ni kusimamia ishu ya ubora tu hayo mengine kwamba hawana mitaji sijui blah blah blah watajua wenyewe.

Hii nchi kuna option ya kukopa,wakakope ili kuongeza mitaji haya mambo ya kutaka sisi wananchi tuwaongezee mitaji kupitia bidhaa zao wanazouza bei kubwa siyo haki hata kidogo.
 
kweli tupu!!👿
 
Atakuwa amezoea kuwanyonya wananchi! Ndiyo maana analialia!
 
Mkuu wachina wana balaa, wao mitaji sio ishu kwenye investment yoyote saizi wanakuja kwa kasi watamgusa kila mfanyabiashara.
Mkuu wachina wana balaa, wao mitaji sio ishu kwenye investment yoyote saizi wanakuja kwa kasi watamgusa kila mfanyabiashara.
Hivi Ile tume ya Mipango huwa inakuaga na mipango Gani Kwa raia wake ktk kuwawezesha ki ushindani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…