Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Hahahaha,Kodi km zoteMgeni anapewa priority zaidi, wewe mwenyeji utabanwa na taasisi usipo kuwa imara kampuni inapotea. Kampuni nyingi za wazawa ku survive inahitaji mipango mingi
Hahahaha,Kodi km zoteMgeni anapewa priority zaidi, wewe mwenyeji utabanwa na taasisi usipo kuwa imara kampuni inapotea. Kampuni nyingi za wazawa ku survive inahitaji mipango mingi
Hata ukinyooka kuna muda watu wanakuja wanataka posho maisha yaendeleeHahahaha,Kodi km zote
Hahahaha,Kuna jamaa angu ana duka karibu na ofc za CCM na kituo Cha police, basi bwana hicho unachosema saaaHata ukinyooka kuna muda watu wanakuja wanataka posho maisha yaendelee