Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 47,397 Reaction score 101,204 Mar 26, 2025 #41 Offshore Seamen said: Mgeni anapewa priority zaidi, wewe mwenyeji utabanwa na taasisi usipo kuwa imara kampuni inapotea. Kampuni nyingi za wazawa ku survive inahitaji mipango mingi Click to expand... Hahahaha,Kodi km zote
Offshore Seamen said: Mgeni anapewa priority zaidi, wewe mwenyeji utabanwa na taasisi usipo kuwa imara kampuni inapotea. Kampuni nyingi za wazawa ku survive inahitaji mipango mingi Click to expand... Hahahaha,Kodi km zote
Offshore Seamen JF-Expert Member Joined Mar 9, 2018 Posts 6,076 Reaction score 15,685 Mar 26, 2025 #42 Tresor Mandala said: Hahahaha,Kodi km zote Click to expand... Hata ukinyooka kuna muda watu wanakuja wanataka posho maisha yaendelee
Tresor Mandala said: Hahahaha,Kodi km zote Click to expand... Hata ukinyooka kuna muda watu wanakuja wanataka posho maisha yaendelee
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 47,397 Reaction score 101,204 Mar 26, 2025 #43 Offshore Seamen said: Hata ukinyooka kuna muda watu wanakuja wanataka posho maisha yaendelee Click to expand... Hahahaha,Kuna jamaa angu ana duka karibu na ofc za CCM na kituo Cha police, basi bwana hicho unachosema saaa
Offshore Seamen said: Hata ukinyooka kuna muda watu wanakuja wanataka posho maisha yaendelee Click to expand... Hahahaha,Kuna jamaa angu ana duka karibu na ofc za CCM na kituo Cha police, basi bwana hicho unachosema saaa