Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Hilo umesema weweKwahiyo alivyokuwepo yeye hakukuwepo matukio yoyote ya watu kunyanyaswa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo umesema weweKwahiyo alivyokuwepo yeye hakukuwepo matukio yoyote ya watu kunyanyaswa!
Zipo,unatumia code tu ndani ukitoka inafutwa.Kwahiyo ukifika hotelini unajihudumia mwenyewe! Yaani unatoa pesa na kujichukulia funguo au siyo!
Huyu mwanaume Hana akili kabisa. Hapo hakuna kesi Anampenda Demu wake Hadi amekuwa mjinga. Mke asikueleze huo ujinga ukamsikiliza kabisa. Hakuna kitu kama hichoMnamo tarehe 8/04/2024 Majira ya saa 2 Usiku katika Kata ya Iyela Wilaya ya Mbeya Mjini inasadikika Mkurugenzi wa Kampuni ya City Casino raia wa Burgalia anayeitwa Vasil Dosev Dimitrov, alimchukua kwa nguvu mfanyakazi wake wa kike jina linahifadhiwa na kwenda kumfanyia ukatili wa Kijinsia na kingono katika hoteli moja maarufu hapa Jijini Mbeya.
Baada ya tukio hilo, Dimitrov akamtuma dereva wake ambaye alimrudisha mwanamke huyo nyumbani kwake Uyole anakoishi na mume wake majira ya saa saba usiku.
Baada ya kufikishwa nyumbani kwake na kuingia ndani huku akilia, aliulizwa na mume wake nini kimetokea, akamuelezea kilichotokea kwamba boss wake huyo alimchukua kwa nguvu kabla hata ya muda wa kufunga ofisi huku akimtishia Kwamba endapo atafanya chochote atamfanyia kitu kibaya.
Mwanamke huyo anasema Mkurugenzi huyo wa City Casino inasemekana alianza kumkaba na kumvuta na kumsukumia ndani ya gari kisha kufunga mlango wa gari na kumuamuru dereva wake anayejulikana kwa jina la Miraji Rashid Swaibu ambaye pia ni fundi wa mashine za PS kuwasha gari na kuondoka eneo la Casino na kwenda Hotelini.
Mume wa Mwanamke huyo baada ya kusimuliwa kila kitu aliamua kuchukua uamuzi wa kwenda kuripoti Kituo cha Polisi Mwanjelwa.
Baada ya kufungua kesi kijana huyo aliamua kuwatafuta SMAUJATA ili waweze kumsaidia kupata Mwanasheria ambaye atasimamia kesi hiyo.
Tarehe 10 Aprili, 2024, Dereva wa Mkurugenzi huyo alionekana maeneo ya Casino na hivyo kumfanya Mume wa Mhanga kupiga simu Polisi na Dereva huyo akakamatwa na kufikishwa Kituo cha Polisi.
Dereve huyo hakukaa muda mrefu akaachiwa kutoka Kituo cha Polisi.
Baada ya kuachiwa kwa Dereva huyo akaenda moja kwa moja kwa Mume wa Mwanamke aliyefanyiwa ukatili na kuanza kumtolea maneno ya kebehi, akimwambia mkewe amefanywa kwa nguvu na Mzungu na Hana cha kumfanya.
Baada ya mume kuona hapati Haki yake kutoka na kudai Mzungu kutumia nguvu ya kiuchumi kumzunguka kwa Vyombo vya Usalama, ndipo akaamua kuwatafuta Waandishi wa Habari na kuwapa kisa kizima alichofanyiwa mke wake na Mkurugenzi huyo.
Waandishi wa Habari baada ya kupata maelezo kutoka kwa Mhanga na Mume wake wakaamua kwenda kwa Meneja wa Casino hiyo ili kupata ukweli wa jambo husika lakini walikosa ushirikiano baada ya meneja huyo anayefahamika kwa jina la Winrose James Muro kudai hamfahamu huyo Mwanamke aliyefanyiwa ukatili.
Waandishi walivyoondoka tu eneo la Casino, meneja huyo akampigia simu yule mwathirika na kuanza kumtishia na kumwambia kwanini amemtumia Waandishi wa Habari.
Kutokana na kitendo hicho cha kumpigia simu Mhathirika na kumtishia, Mwanamke huyo akaamua kuwatafuta Waandishi na kuwapa taarifa ya kile kinachoendelea kutoka kwa Meneja huyo,
Waandishi wakaamua kumpigia simu meneja na kumhoji kwamba kwanini anampigia simu Mhanga wakati alisema hamfahamu na wala hakuna tukio lolote ambalo lilitokea pale.
Baada ya kupigiwa simu na Waandishi akachukua namba za Waandishi hao na kuzituma kwa Boss wake (Mzungu) ambaye siku ya leo majira ya saa nne asubuhi (Aprili 29, 2024) akaanza kuwapigia simu na kuwatukana matusi mazito ya nguoni na kuwatishia maisha kwa kusema atafanya kila awezalo ili awatoe Uhai sababu anadai wanafuatilia mambo yasiyowahusu.
Waandishi hao baada ya kutishiwa maisha wakaamua kwenda kuripoti Kituo cha Polisi cha Kati Mbeya Mjini na kupewa RB.
ndiyo maana polisi wameona ni swala la kipuuzi.Kwahiyo alichukuliwa kazini kwa nguvu na walivyofika hotelini akaingizwa hotelini kwa nguvu na akavuliwa nguo kwa nguvu na bado alinyamaza hata kupiga kelele za kujaza watu kashindwa!
Na atakuwa alitumwa adokoe vya watu na mumewe.Casino lipo upande gani au yale ma vifaa ya game pale CITY PUB? Utakuta huyo mdada kaiba hela alafu anataka kutuhusisha kwenye kumuonea huruma kwenye majanga yake?
Ongezea na dereva. Alikuwa na roho mbaya kiasi cha kumbeba mtanzania,mfanyakazi mwezie,huku akiona anavutwa kwa nguvu na akanyamaza?! Af,baada ya tukio,akampeleka nyumbani,bila hata kwenda polisi! Hili tukio lina ualakini. Hapo mmewe ajue hana mtu,ajiandae tu kisaikolojia. Huyu ukweli inaonekana alipanga kuliwa na Boss, huenda ikavuja. Kama vipi angelala tu kesho yake akatafuta visingizio,maana kama ni mkuyenge alisha chomekwa.Dah ila stori ya huyo dada alivyopelekwa huko,, ,,,,,huko kote hamna waliomuona kumsaidia na yeye hakupiga kelele?
Huyo anajichomoa fuse tuuuu. Dereva aliwapeleka au akarudisha mke wa mtu. Alishindwa kusaidia alipoona hali si shwali?Kwahiyo ukifika hotelini unajihudumia mwenyewe! Yaani unatoa pesa na kujichukulia funguo au siyo!
Tena unarudishwa kwako bado kimya tuuuHuyu mwanaume Hana akili kabisa. Hapo hakuna kesi Anampenda Demu wake Hadi amekuwa mjinga. Mke asikueleze huo ujinga ukamsikiliza kabisa. Hakuna kitu kama hicho
Unachukuliwaje Kwa nguvu Hadi Hotelin?
Nonsense😂😂😂
Kwani haiwezekani? Pia inawezekana walikubaliana lakini walipofika mzungu akamshika na kumfanyia unyama. Unjua defination ya rape wewe?Kwahiyo alichukuliwa kazini kwa nguvu na walivyofika hotelini akaingizwa hotelini kwa nguvu na akavuliwa nguo kwa nguvu na bado alinyamaza hata kupiga kelele za kujaza watu kashindwa!
Huyu ameliwa kwa ridhaa, naona wamepanga na mumewe wamtoe jamaa pesa.Kwahiyo alichukuliwa kazini kwa nguvu na walivyofika hotelini akaingizwa hotelini kwa nguvu na akavuliwa nguo kwa nguvu na bado alinyamaza hata kupiga kelele za kujaza watu kashindwa!
Hapa ndipo utajua ni kwa nini mwarabu mmoja aliweza kuja na kuchukuwa watumwa elfu moja huku waafrika wanamwangalia tu. Mwafrika akili na utu wake zinamtosha kuvuka barabara tu.Tena unarudishwa kwako bado kimya tuuu
Una uhakika mwarabu alikuwa mmoja tu?Hapa ndipo utajua ni kwa nini mwarabu mmoja aliweza kuja na kuchukuwa watumwa elfu moja huku waafrika wanamwangalia tu. Mwafrika akili na utu wake zinamtosha kuvuka barabara tu.
5 hours purukushani? Kweli? Haya alifanikiwa kumkula kwa lazima haya baadae alimshikilia ili aendelee tena second round, 3 ....jamanitarehe 8/04/2024 Majira ya saa 2 Usiku......... akmrejesha saa saba usk!
Let me tell you something; kuna wanawake huwa ni weak sana when it comes to wanaume. Yaani unakuta mwanaume dhaifu tu ila anaweza akamdunda hapo akamchakaza sababu labda upbringing yake alikuwa anaambiwa "usije ukashindana na mwanaume" au "mwanaume ni mwanaume tu". Inawezekana kabisa due to past traumas tu akaacha akatendewa unyama na hivi ni boss wake na inawezekana he is a scary man...mhurumie tuKwahiyo alichukuliwa kazini kwa nguvu na walivyofika hotelini akaingizwa hotelini kwa nguvu na akavuliwa nguo kwa nguvu na bado alinyamaza hata kupiga kelele za kujaza watu kashindwa!
Until it is your daughter, utaenda kuchoma mtu bisibisi.uzi wa kipuuzi sana huu sasa kama watu walienda kulana masaa yoye hayo tena waziwazi then mnamtuhumu mtasha wawatu kuwa kabaka, nchi mbaya sana hii kubaka ni purukushani nguo kuchanika tena ni fasta kimoja tu chwaaap , sasa mtu kaenda hotelini kaliwa kalipwa karudishwa nyumbani duh wanyaki mna matatizo sana nyinyi,
Ila polisi wetu wajitathmini, kuna ile ya arusha kwa makondaMnamo tarehe 8/04/2024 Majira ya saa 2 Usiku katika Kata ya Iyela Wilaya ya Mbeya Mjini inasadikika Mkurugenzi wa Kampuni ya City Casino raia wa Burgalia anayeitwa Vasil Dosev Dimitrov, alimchukua kwa nguvu mfanyakazi wake wa kike jina linahifadhiwa na kwenda kumfanyia ukatili wa Kijinsia na kingono katika hoteli moja maarufu hapa Jijini Mbeya.
Baada ya tukio hilo, Dimitrov akamtuma dereva wake ambaye alimrudisha mwanamke huyo nyumbani kwake Uyole anakoishi na mume wake majira ya saa saba usiku.
Baada ya kufikishwa nyumbani kwake na kuingia ndani huku akilia, aliulizwa na mume wake nini kimetokea, akamuelezea kilichotokea kwamba boss wake huyo alimchukua kwa nguvu kabla hata ya muda wa kufunga ofisi huku akimtishia Kwamba endapo atafanya chochote atamfanyia kitu kibaya.
Mwanamke huyo anasema Mkurugenzi huyo wa City Casino inasemekana alianza kumkaba na kumvuta na kumsukumia ndani ya gari kisha kufunga mlango wa gari na kumuamuru dereva wake anayejulikana kwa jina la Miraji Rashid Swaibu ambaye pia ni fundi wa mashine za PS kuwasha gari na kuondoka eneo la Casino na kwenda Hotelini.
Mume wa Mwanamke huyo baada ya kusimuliwa kila kitu aliamua kuchukua uamuzi wa kwenda kuripoti Kituo cha Polisi Mwanjelwa.
Baada ya kufungua kesi kijana huyo aliamua kuwatafuta SMAUJATA ili waweze kumsaidia kupata Mwanasheria ambaye atasimamia kesi hiyo.
Tarehe 10 Aprili, 2024, Dereva wa Mkurugenzi huyo alionekana maeneo ya Casino na hivyo kumfanya Mume wa Mhanga kupiga simu Polisi na Dereva huyo akakamatwa na kufikishwa Kituo cha Polisi.
Dereve huyo hakukaa muda mrefu akaachiwa kutoka Kituo cha Polisi.
Baada ya kuachiwa kwa Dereva huyo akaenda moja kwa moja kwa Mume wa Mwanamke aliyefanyiwa ukatili na kuanza kumtolea maneno ya kebehi, akimwambia mkewe amefanywa kwa nguvu na Mzungu na Hana cha kumfanya.
Baada ya mume kuona hapati Haki yake kutoka na kudai Mzungu kutumia nguvu ya kiuchumi kumzunguka kwa Vyombo vya Usalama, ndipo akaamua kuwatafuta Waandishi wa Habari na kuwapa kisa kizima alichofanyiwa mke wake na Mkurugenzi huyo.
Waandishi wa Habari baada ya kupata maelezo kutoka kwa Mhanga na Mume wake wakaamua kwenda kwa Meneja wa Casino hiyo ili kupata ukweli wa jambo husika lakini walikosa ushirikiano baada ya meneja huyo anayefahamika kwa jina la Winrose James Muro kudai hamfahamu huyo Mwanamke aliyefanyiwa ukatili.
Waandishi walivyoondoka tu eneo la Casino, meneja huyo akampigia simu yule mwathirika na kuanza kumtishia na kumwambia kwanini amemtumia Waandishi wa Habari.
Kutokana na kitendo hicho cha kumpigia simu Mhathirika na kumtishia, Mwanamke huyo akaamua kuwatafuta Waandishi na kuwapa taarifa ya kile kinachoendelea kutoka kwa Meneja huyo,
Waandishi wakaamua kumpigia simu meneja na kumhoji kwamba kwanini anampigia simu Mhanga wakati alisema hamfahamu na wala hakuna tukio lolote ambalo lilitokea pale.
Baada ya kupigiwa simu na Waandishi akachukua namba za Waandishi hao na kuzituma kwa Boss wake (Mzungu) ambaye siku ya leo majira ya saa nne asubuhi (Aprili 29, 2024) akaanza kuwapigia simu na kuwatukana matusi mazito ya nguoni na kuwatishia maisha kwa kusema atafanya kila awezalo ili awatoe Uhai sababu anadai wanafuatilia mambo yasiyowahusu.
Waandishi hao baada ya kutishiwa maisha wakaamua kwenda kuripoti Kituo cha Polisi cha Kati Mbeya Mjini na kupewa RB.
MAJIBU YA KAIMU KAMANDA WA POLISI MBEUYA
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Abdi Isango alipoulizwa kuhusu suala hilo amesema:
"Hiyo taarifa imetufikia Wahusika wote wanaoshtaki wamefungua mashitaka Polisi na uchunguzi unaendelea.
"Sijawasiliana na Mkuu wa Polisi wa Wilaya kujua mtuhumiwa amekamatwa au la, nitafuatilia kama amekamatwa au bado, na kama bado tujue ni kwa nini kwa kuwa mtuhumiwa yupo tu karibu anapatikana.
"Tuhuma ni mbili, kwanza iliyofunguliwa ni kumnyanyasa Mwanamke kingono, ilifunguliwa Kituo cha Mwanjelwa, pia kuna Waandishi wa Habari nao walifungua wakidai kutishiwa na mtuhumiwa na kutolewa lugha ya matusi wakati wanafuatilia suala hilo."