DOKEZO Mkurugenzi City Casino Mbeya ambaye ni raia wa kigeni atishia kuua Waandishi wa Habari wanaofuatilia tuhuma za kumfanyia ukatili mke wa mtu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Huyu mwanaume Hana akili kabisa. Hapo hakuna kesi Anampenda Demu wake Hadi amekuwa mjinga. Mke asikueleze huo ujinga ukamsikiliza kabisa. Hakuna kitu kama hicho
Unachukuliwaje Kwa nguvu Hadi Hotelin?
Nonsense😂😂😂
 
Dah ila stori ya huyo dada alivyopelekwa huko,, ,,,,,huko kote hamna waliomuona kumsaidia na yeye hakupiga kelele?
Ongezea na dereva. Alikuwa na roho mbaya kiasi cha kumbeba mtanzania,mfanyakazi mwezie,huku akiona anavutwa kwa nguvu na akanyamaza?! Af,baada ya tukio,akampeleka nyumbani,bila hata kwenda polisi! Hili tukio lina ualakini. Hapo mmewe ajue hana mtu,ajiandae tu kisaikolojia. Huyu ukweli inaonekana alipanga kuliwa na Boss, huenda ikavuja. Kama vipi angelala tu kesho yake akatafuta visingizio,maana kama ni mkuyenge alisha chomekwa.
 
Huyu mwanaume Hana akili kabisa. Hapo hakuna kesi Anampenda Demu wake Hadi amekuwa mjinga. Mke asikueleze huo ujinga ukamsikiliza kabisa. Hakuna kitu kama hicho
Unachukuliwaje Kwa nguvu Hadi Hotelin?
Nonsense😂😂😂
Tena unarudishwa kwako bado kimya tuuu
 
Kwahiyo alichukuliwa kazini kwa nguvu na walivyofika hotelini akaingizwa hotelini kwa nguvu na akavuliwa nguo kwa nguvu na bado alinyamaza hata kupiga kelele za kujaza watu kashindwa!
Kwani haiwezekani? Pia inawezekana walikubaliana lakini walipofika mzungu akamshika na kumfanyia unyama. Unjua defination ya rape wewe?
 
Kwahiyo alichukuliwa kazini kwa nguvu na walivyofika hotelini akaingizwa hotelini kwa nguvu na akavuliwa nguo kwa nguvu na bado alinyamaza hata kupiga kelele za kujaza watu kashindwa!
Huyu ameliwa kwa ridhaa, naona wamepanga na mumewe wamtoe jamaa pesa.
Hakuna ukweli wowote
 
Alichukuliwa casino kwa nguvu mpaka hotelin wakabuku chumba kwa nguvu mbele ya receptionists wakapanda chumban kwa nguvu wakaingia chumban kwa nguvu. Wakavuliana chupi kwa nguvu. Wakamaliza wakashuka chini dada akarudishwa kwao saa saba usiku. Ndio kumlilia mumewe. Wajinga walishaisha hapa JF bana mwambie dada atoe maelezo vizur labda mzungu hakumpa hela aliyokuwa anataka
 
tarehe 8/04/2024 Majira ya saa 2 Usiku......... akmrejesha saa saba usk!
5 hours purukushani? Kweli? Haya alifanikiwa kumkula kwa lazima haya baadae alimshikilia ili aendelee tena second round, 3 ....jamani
 
uzi wa kipuuzi sana huu sasa kama watu walienda kulana masaa yoye hayo tena waziwazi then mnamtuhumu mtasha wawatu kuwa kabaka, nchi mbaya sana hii kubaka ni purukushani nguo kuchanika tena ni fasta kimoja tu chwaaap , sasa mtu kaenda hotelini kaliwa kalipwa karudishwa nyumbani duh wanyaki mna matatizo sana nyinyi,
 
Kwahiyo alichukuliwa kazini kwa nguvu na walivyofika hotelini akaingizwa hotelini kwa nguvu na akavuliwa nguo kwa nguvu na bado alinyamaza hata kupiga kelele za kujaza watu kashindwa!
Let me tell you something; kuna wanawake huwa ni weak sana when it comes to wanaume. Yaani unakuta mwanaume dhaifu tu ila anaweza akamdunda hapo akamchakaza sababu labda upbringing yake alikuwa anaambiwa "usije ukashindana na mwanaume" au "mwanaume ni mwanaume tu". Inawezekana kabisa due to past traumas tu akaacha akatendewa unyama na hivi ni boss wake na inawezekana he is a scary man...mhurumie tu
 
Until it is your daughter, utaenda kuchoma mtu bisibisi.
 
Ila polisi wetu wajitathmini, kuna ile ya arusha kwa makonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…